ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,575
- 71,551
šAcha nikae kimyaHebu mtag tukusaidie kukuitia!
šAcha nikae kimyaHebu mtag tukusaidie kukuitia!
Isije ikawa, unamuona na mnapishana tu kwenye nyuzi ila hamsalimiani kama mnaogopana vile š¤£šAcha nikae kimya
Asante kwa kusema badala yangu! Nitazoea tu si ndiyo?Isije ikawa, unamuona na mnapishana tu kwenye nyuzi ila hamsalimiani kama mnaogopana vile š¤£
Daaah, kwahiyo mnafuatana kama kumbikumbi ila kubebishana hamtaki, au ndiyo umeachwa kimya kimya 𤣠šAsante kwa kusema badala yangu! Nitazoea tu si ndiyo?
Nimeachwa kimya kimya, nilidhani ni likizo nimepewa ila hii sioni dalilišDaaah, kwahiyo mnafuatana kama kumbikumbi ila kubebishana hamtaki, au ndiyo umeachwa kimya kimya 𤣠š
Pole sana, tushushe uzi nini kwenye "love connect" tukutafutie replacement yake.Nimeachwa kimya kimya, nilidhani ni likizo nimepewa ila hii sioni daliliš
Ila wewe!šPole sana, tushushe uzi nini kwenye "love connect" tukutafutie replacement yake.
Moja ya vigezo ni we anaishi ughaibuni 𤣠š¤£
Haya basi jaribu uone, namjua mkaka wa kaskazini yuko Marekani, nikuunge naye 𤣠𤣠?Ila wewe!š
Sijawahi date watu wa ughaibuni, nataka ambae kwake nauli ni buku kwenda na kurudi
Aunty nipo
Hiyo naijua, hapanašHaya basi jaribu uone, namjua mkaka wa kaskazini yuko Marekani, nikuunge naye 𤣠𤣠?
Usiogope buana 𤣠hang'ati šHiyo naijua, hapanaš
All the bestAunty nipo
I miss you tooooooooā¤ļø
ššThanks youAll the bestšš
Ni kwenye keyboard au na live uko hivyo šNajivunia ujeuri lasivyo ningekua na idadi kubwa ya kudate na MAMBWA š¹š¹
Ndivyo nilivyo tena nje ya keyboard jeuri hata kucheka sicheki š¹š¹Ni kwenye keyboard au na live uko hivyo š
Type yangu kabisa š¤Ndivyo nilivyo tena nje ya keyboard jeuri hata kucheka sicheki š¹š¹
Huyu Nomadiq naona anamuwinda Lamomynani kafufua huu uziš¤£š¤£ ulikua wa moto saivi imebaki historiaš¤øāāļø