Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,773
- 27,191
- Thread starter
- #281
Tumefurahi umerudi.Hellooo
Mamboz?
Am back!
Najivunia kurudi salama
Zawadi zangu ziko wapi?
Tumefurahi umerudi.Hellooo
Mamboz?
Am back!
Najivunia kurudi salama
Eti Ouuyeeeessss 🤣We Acha tuuu ouyeeeees😅
Amua sasa😂 usile chipsi kwa mwaka mmoja tuSijapenda
Mimi sio mlaji wa chips hivyooAmua sasa😂 usile chipsi kwa mwaka mmoja tu
Hapo umenoga, mshangazi portable ndo dili😋Asante sana , ushauri wako wa February niliuchukua nikatafuta nutritionist, nikajifunza kuhusu the science behind weight loss, tukatengeneza meal plans na imenisaidia sana.
Sema kukonda kweli kazi, mimi mwenyewe napambana na 78kg zangu hapa. Ila nazishusha mdogo mdogo tokea mwaka jana...Mimi sio mlaji wa chips hivyoo
Khaa! Sasa 78kg nazo ni nyingi kwa mwanaume?Sema kukonda kweli kazi, mimi mwenyewe napambana na 78kg zangu hapa. Ila nazishusha mdogo mdogo tokea mwaka jana...
Hapo umenoga, mshangazi portable ndo dili😋
Hatari sana toka replies 323 mpaka 288, hadi mawaonea huruma kusoma na kufuta ile mitusi yote ya Mwanakwetu 🤣Mods wanatumia VPN 😅😅.
Njoo pmTumefurahi umerudi.
Zawadi zangu ziko wapi?
Alikukataza 🤔😅😹😹😹 Niliacha Kantry alinikataza na hapendi nitukane so hata sijafatilia..!!
😹😹😹 Kila mbabe ana mbabe wake..!!Alikukataza 🤔😅
Kumbe kuna watu humu unawatii 🤣
Embu tuone🌚Khaa! Sasa 78kg nazo ni nyingi kwa mwanaume?
Ila mimi ni wastani sio bonge wala mwembamba😎
Acha matani kwamba hujawahi kuniona auEmbu tuone🌚
Njoo pmKwani lazima uje na fujo kama unataka kuiomba. Acha kuzunguka zunguka kijana 😅
Acha maelezo mengi, tupia kafoto buana 😅Acha matani kwamba hujawahi kuniona au
Nikikuona tena kuna shida jamani?Acha matani kwamba hujawahi kuniona au