Kweli unaweza kumaliza kilo 2 😁😅?Ingekua sio sababu za kiafya kitimoto ningekua nafuta hata kg 2 napenda ile ngozi yake ikikauka baada ya kukaanga.
Mate yananitoka🥲
Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwaKweli unaweza kumaliza kilo 2 😁😅?
Uliidownload au? 😀😃 Mimi Kuna mtu aliitaka nikamdowmloadiaSalama mzee wa A.......... angel, vipi mmeamkaje huko?
Ile movie yako si nikaenda kuigoogle buana 🤭🫣 😅
😎Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwa
😀😀😀😀😀Nimekuja mbio nikajua ni jambo la maana🚮
Hapana, sina mtu wa kumdownlododia 😎Uliidownload au? 😀😃 Mimi Kuna mtu aliitaka nikamdowmloadia
Daaah, wewe kiboko 😁🙌Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwa
😀😀😃kUna bidada Jirani yangu alinikuta na download movie 😎😎 akaniganda nimchukukue mambo fulaniHapana, sina mtu wa kumdownlododia 😎
😃😃😃😀😀Daaah, wewe kiboko 😁🙌
Basi wewe na huyo bidada jirani yako mna ujirani mwema 😅😂😀😀😃kUna bidada Jirani yangu alinikuta na download movie 😎😎 akaniganda nimchukukue mambo fulani
Napata kiporo cha chipsi 😎
😃😀😀Basi wewe na huyo bidada jirani yako mna ujirani mwema 😅😂
Inapendeza sana!
Hebu mtag tukusaidie kukuitia!Kuna mtu nimemmiss mpaka naishiwa pawa