Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,742
Nakumbuka ulipataga vocha za elfu 20 ephen akee 😀😃😀Ila enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.
Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20k😂