Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,847
Habari za asubuhi Binti wa zamani
Salama kabisa Vin, vipi Kigambonino mmeamkaje?Habari za asubuhi Binti wa zamani
Nguvu moja 👊🏽Siku ya mwananchi...
Kwanini umeficha makucha? Hebu piga picha nyingine unitumie pmNaona umerudi kwenye WiFi ya shemeji yako, unaanza kunitafuta maneno Lucha 😅
Kuna kajoto sana now nipo baharini hapa nakula bia 😎Salama kabisa Vin, vipi Kigambonino mmeamkaje?
Ila enzo!😂 Nimemkumbuka yule mdogo wako, mbona siku hizi humuweki?Kuna kajoto sana now nipo baharini hapa nakula bia 😎
Karibu sana uwanjani mlembo wa mkoloniNguvu moja
Yupo form 6 asaivi 😎 nimekuza walahi walahi nimekuzaIla enzo!😂 Nimemkumbuka yule mdogo wako, mbona siku hizi humuweki?
Mtoto unakicheko mashallah sana walahi 😎Mambo yako yananifurahisha tu😂
Soon utaitwa shemeji! Ushamuandalia PC ya kwendea chuo?Yupo form 6 asaivi 😎 nimekuza walahi walahi nimekuza
Ndio Tena namchukulia dell ya laki 7Soon utaitwa shemeji! Ushamuandalia PC ya kwendea chuo?
Natamani niwe mdogo wako nipate Pc ya laki 7Ndio Tena namchukulia dell ya laki 7
Mbona mapema sana, ni joto tu au kuna mengine?Kuna kajoto sana now nipo baharini hapa nakula bia 😎
Jua Kali sanaMbona mapema sana, ni joto tu au kuna mengine?
Mimi najivunia tu nilivyo nimejifunza kujikubali na kujithaminWadogo zangu waifu material na Mallerina mnajivunia nini siku ya leo?
Kwani lazima uje na fujo kama unataka kuiomba. Acha kuzunguka zunguka kijana 😅Kwanini umeficha makucha? Hebu piga picha nyingine unitumie pm