Nini unajivunia siku ya leo?

Nini unajivunia siku ya leo?

Nashukulu sir god kunifanya nahema
giphy.gif
 
Ukija uwanjani VIP A pale ukimuona mkaka ana kitambi na kapiga kofia jezi ya njano imeandikwa Vin JR ujue ndio Mimi ukiniona nakupa na afu kumi ya maji ephen_
Ila enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.

Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20k😂
 
Ila enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.

Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20k😂
😃😀😀Aisee au na mie niwafanyieni jambo 😎
 
Back
Top Bottom