😃😀�Kumbe 😃😀😀Atakuwa nalo kubwa hadi linamwagikia...
Nakukumbusha we msenge Mr kitumbo mbwata shoga la kigamboni, mods hawapo kazini, kwanza baba yako anaendeleaje na ukimwi wake? 😹😹😹Mwana anasema anataka kupunguza kalio 😃😀😀😀
Inapendeza sana, haya sikiliza one of my favorite songs hapaI'm proud of myself
the man I'm looking in the mirror.
juzi jioni nilikua zangu beach nakula mpepe mpaka giza limeingia nashangaa huu mwezi leo mbona siuelewi elewi nikahisi labda mpepe unaniletea mazingzong nikarudi zangu gheto asa nashangaa nakuta taarifa kwenye simu kumbe mwezi juzi ulipatwa 🤣🤣🤣🤣 me nikajua ni mpepe umenipotezaChaliangu acha bangi🤣
sasa nyumba moja room 2 na vits ni utajiri
Nilikua kibonge sasa hivi naelekea umodo 😅
chini ya hamisini wewe sio mgonjwa kweli?Hongera yako mimi nimepungua hapa nina kilo chini ya 50🥲
Najivunia kuwa mwanamke wa shoka
Aisee series ishaanza kuwa tamu sana sema yule bidada aaliyaah nae mzuri aisee😎😎 ile mitoto ya kiarabu mizuri sana fei naona mwishoni ataolewa na dokta jawadMmmh! Mambo yamenoga
Dokta jawad anajua sana kupenda
Faith anapendwa na kila mkaka, ndugu yangu Aaliyah yeye bahati ya kupendwa imepita kushoto.
nilikuwa najiuliza mbona huyu memba anaonekana hamnazo kichwani kumbe ni bonge😎😎😎Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
View attachment 3468982
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.
Acha tu mkuu, hapa kati kati niliumwa sana hapa kwenyewe nina changamoto ya hormone nipo kwenye dozi, kila mtu ninayekutana naye ananiambia nimepunguachini ya hamisini wewe sio mgonjwa kweli?
Duh sijawahi kuona wanawake wazuri kuzidi ngozi nyeusi bwashee, zipo pisi zimenyooka hii dunia iache hivyo hivyo tu.Aisee series ishaanza kuwa tamu sana sema yule bidada aaliyaah nae mzuri aisee😎😎 ile mitoto ya kiarabu mizuri sana fei naona mwishoni ataolewa na dokta jawad
Yeah! Wazuri sanaa hata wakaka wao ni mahandsome, sema Faith ana kishepu flani hivi amaizingAisee series ishaanza kuwa tamu sana sema yule bidada aaliyaah nae mzuri aisee😎😎 ile mitoto ya kiarabu mizuri sana fei naona mwishoni ataolewa na dokta jawad
Naunga mkono hoja yule faith afu kumbe ni muimba muziki kule lebanoni mtoto mzuri sana yule walahiYeah! Wazuri sanaa hata wakaka wao ni mahandsome, sema Faith ana kishepu flani hivi amaizing
Mimi mule Tameer ndiye anaondoka na moyo wangu.
pole sana mrembo.mwanamke anatakiwa awe na wastani wa kilo 52-60 au wewe bado mdogo?Acha tu mkuu, hapa kati kati niliumwa sana hapa kwenyewe nina changamoto ya hormone nipo kwenye dozi, kila mtu ninayekutana naye ananiambia nimepungua
Hivi kawaida binadamu anatakiwa kua na uzito gani?Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
View attachment 3468982
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.