Washenzi Sana kitu cha Laki 2,wanakuuzia Laki 4!!Nje ya mada hao waarabu koko sijui waturuki wanaowauzia vitu kwa kupitisha kwenye magari wanawapiga mnooo na watu mmejaa uvivu kufata vitu madukani
Kuna mtu yeye aliuziwa kitu cha elfu 65 akapewa mkopo miezi 6 kianzio 90 na kila mwezi 70 yaani nikaishia kushangaa tu walimpatajeWashenzi Sana kitu cha Laki 2,wanakuuzia Laki 4!!
Dukani ukiongeza laki mbili unapata watt 1000 lg.WamekupigaWa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
Home theatre mziki wake ni mzuriWa Salaam ndugu.kuna hawa waarabu wanapita na magari mashuleni. Wameniuzia home Thearte ya watts 210 ila napenda kujua tofauti ya Sound Bar na Home Theatre.
Walinianzia 550,000 ila wakanipa kwa 500,000. Niliipenda ilivyo.
Acha wapigwe tu,wanapenda Sana mikopo!Kuna mtu yeye aliuziwa kitu cha elfu 65 akapewa mkopo miezi 6 kianzio 90 na kila mwezi 70 yaani nikaishia kushangaa tu walimpataje
Wao wanafikiri bure tu kumbe wao ndio waliwaoAcha wapigwe tu,wanapenda Sana mikopo!
Kuna watu wakisikia mkopo hawajiulizi mara mbili Ni kujibebea tu!!
Hao waturuki siku moja wamekuja home na hotpot za 250000 wao wanakopesha Laki 550000 kweli jamani🤔🤔🤔🤔🤔Wao wanafikiri bure tu kumbe wao ndio waliwao
Mbona sio sound bar hii