Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Kama waliweza kuwafanyia umafia Mawaziri wa CCM wanaowapinga kwa ufisadi wao, watashindwa kwa chama cha upinzani na viongozi wao?

Tafakari!
quote_icon.png
By Lunyungu

"Sitta alipofika kuniona, nilisikitika sana kwa nini alikuja. Ndiyo maana aliporudi alikuja na kilio kwa Polisi akiwataka wachunguze, wakamgeuzia kibao... walisau kuwa Sitta (Samuel) ni mwanasheria aliyebobea."
 
Siri ya mtungi aijuae ni kata. mbona unapiga propaganda za kitoto ambazo hata mtoto wa Primary anaweza kuzing'amua kinagaubaga? Tafuta propaganda za kiutu uzima si hizi za kitoto.
 
Chris Lukosi hivi ukiambiwa wewe
Ni kati ya vijana wanaofikiria kwa kutumia makalio sio kwamba umetukanwa ila umeambiwa ukweli yaani Elimu yako ni kama haikusaidii kwani tunawasiwasi kwamba huko ulikuwa ukisoma au ulikuwa ukifanya kazi za ndani,au unapersonal issues na viongozi wa Chadema,

Kwa akili ndogo tu za mtu ambae hakwenda shule hauwezi kulinganisha Chadema na Utawala wa Amini kama kweli ni msomi yaani ni akili za kipumbavu huna tofauti na Juliana Shonza kwa kuwa yeye ni mwanamke lakini anakuzidi akili

Unachosema unakihoji na haujibiwi ni kipi yaani unayoyaandika hayakutofautishi na mpumbavu ambae hajaenda shule

Eleza moja unachokigombea na viongozi wa Chadema ni nini make utaonekana mpumbavu zaidi ya ulivyo sasa pamoja na kujiona mjanja,wewe unaongea ujinga sababu umekosa kazi sasa unataka kujipendekeza ili upewe cheo,ni fikra za kitoto kwa kufikiria kwamba utukane ili upewe cheo
Jiajiri tafuta kazi kukaa kwenye laptop mchana kutwa haitakusaidia kutoa matusi all the time
Usitake watu wakuamulie ujinga wako kwa kuongea upuuzi wako

Tumia elimu yako ili ujulikane kwamba ni educated person
Hamna namna nyingine ya kujibu hoja bila kutokwa povu na matusi?
Hiyo ikulu itakuwaje kama ikiingiliwa na midomo michafu namna hii?
 
Chris Lukosi hivi ukiambiwa wewe
Ni kati ya vijana wanaofikiria kwa kutumia makalio sio kwamba umetukanwa ila umeambiwa ukweli yaani Elimu yako ni kama haikusaidii kwani tunawasiwasi kwamba huko ulikuwa ukisoma au ulikuwa ukifanya kazi za ndani,au unapersonal issues na viongozi wa Chadema,

Kwa akili ndogo tu za mtu ambae hakwenda shule hauwezi kulinganisha Chadema na Utawala wa Amini kama kweli ni msomi yaani ni akili za kipumbavu huna tofauti na Juliana Shonza kwa kuwa yeye ni mwanamke lakini anakuzidi akili

Unachosema unakihoji na haujibiwi ni kipi yaani unayoyaandika hayakutofautishi na mpumbavu ambae hajaenda shule

Eleza moja unachokigombea na viongozi wa Chadema ni nini make utaonekana mpumbavu zaidi ya ulivyo sasa pamoja na kujiona mjanja,wewe unaongea ujinga sababu umekosa kazi sasa unataka kujipendekeza ili upewe cheo,ni fikra za kitoto kwa kufikiria kwamba utukane ili upewe cheo
Jiajiri tafuta kazi kukaa kwenye laptop mchana kutwa haitakusaidia kutoa matusi all the time
Usitake watu wakuamulie ujinga wako kwa kuongea upuuzi wako

Tumia elimu yako ili ujulikane kwamba ni educated person
Naamini hata yeye mwenyewe anapost huu upumbavu huku roho yake ikimsuta. Lukos kawa mtu wa
ajabu sana sijui kwa nini. Nadhani hata wanao kuaga upande wako leo umewaboa.
 
Ugonjwa wako umefika mahali pa kuvua nguo sasa.

Nilikuwa naona kila mtu anamuita huyu bwana mgonjwa na sikujua kwa nini, kweli kazi hipo

Mods wa JF inawapasa kuwa wakali sasa, kwa thread kama hivi zitairudisha na kuishushia hadhi JF
 
MKUU HUU NDIO UGALI ULISEMA UTAMWAGA??????
Unalinganisha mbingu na kuzimu
 
mkuu umepatia kabisa, sema mimi nilikua naufananisha na utawala wa dikteta musolin mwenyewe, karibia wamkutie Hitler mwenyewe lakini naona wanaelekea huko, maana washaanza ugaidi taratibu
 
Chris Lukosi, hebu soma ushuhuda wa mawaziri ambao ni wanachama wa CCM jinsi ambavyo sauti yoyote inayojaribu kupinga ufisadi inavyozimwa kwa uovu mkubwa na nguvu za dola.

Kama una haraka soma pekundu tu.

Jiulize kwa nini jeshi la polisi halifanyii kazi matukio hayo ya Mwakyembe na Mwandosya?

Kuna watu wako kwa ajili ya kula nchi hii. Yeyote anayewasumbua, iwe chama au mtu binafsi anashughulikiwa. Hata kama ni mwana CCM mwenzao na waziri katika serikali yao.

Hawataki kuambiwa ukweli, na wewe umeanza kutumika kama chombo cha kuendeleza uovu huo.

Usinunuliwe kwa bei rahisi. Waulize Sitta, Mwakyembe, Mwandosya n.k.

Nadhani hapa umeona ulinganisho wako na utawala wa Idd Amin una ukweli fulani hapa nchini......

Hawa wabunge woooote ni Ccm kasoro mmoja ambaye ni Joseph Mbilinyi halafu Chris Lukosi anaongea utafikiria hakwenda shule ni kuthibitisha jinsi gani unavyofikiria kwa kutumia masaburi hiyo elimu yako haikusaidii bado inakufanya uonekane kwamba ni mjinga
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Kwa hiyo na wale wanamwona Idd Amin ni hero nao ni brainwashed hopeless people? Hili ni tusi la rejareja maana kama watu kuwaona CDM ni heroes baada ya kuvutiwa na sera zao kweli hili ndilo jina wanalolihitaji? Kwamba wao wameamua kwenda chama ambacho ni mbadala wao wewe unawabrand hivyo Lukosi ambaye nasikia umebahatiwa kuwa na exposure? What does that exposure identify you and others who have not managed to see beyond of Dar es Salaam? Lukosi kama vidole vingekuwa kichwa, kichwa kingekuwa wapi? Kama wote wangekuwa CCM kama wewe ungekuwa unasema nini? Unapata ujasiri wa kusema hivyo kwa sababu si wote wanaweza kuwa CCM lakini kuchagua chama mbadala hakuwafnyi watu kuwa kama unavyolazimisha wawe. Nimekwambia one man's meat another mans's poison
 
mkuu umepatia kabisa, sema mimi nilikua naufananisha na utawala wa dikteta musolin mwenyewe, karibia wamkutie Hitler mwenyewe lakini naona wanaelekea huko, maana washaanza ugaidi taratibu

Ukiwa mtaani hasa maeneo ya mijini ni dadra sana kusikia mtu anaisifia CCM, wapo watu wanapenda CCM iendelee kuwa madarakani ingawa watu hao huwa hawasemi wazi. Unaweza ukawaona kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia Nick names.

Zifuatazo ni sababu zinazofanya baadhi ya Watanzania kulilia CCM ibaki madarakani pamoja na umasikini, ufisadi uliokithiri kufikia hatua ya kushika nafasi ya pili kwa ufisadi Afrika mashariki, point moja tu baada ya uganda.

1. Watu hao kwa sasa wananufaika na mfumo wa sasa, kwani ni mfumo ambao uko loose,kundi hili ni waajiriwa serikalini. Wafanyakazi wa Serikali wamefanikiwa kuvuna pesa za wizi serikalini wanaomba hali iendelee kuwa kama ilivyo, CCM iendelee kutawala .

Wengi wetu tunawafahamu rafiki zetu walioko serikalini bila kujali kuwa wana nafasi za juu au za chini wamefanikiwa kutajirika ghafla, tunawafahamu lakini hakuna mahali pa kuripot kwakuwa system nzima ni Corrupt.

2. Wako wafanyabiashara wanaokwepa kodi, serikali imegubikwa na rushwa kwa hiyo hawawezi kukusanya kodi, kila kitu kinakwenda kwa dili au ten %. Hawa nao wanasema kidumu chama cha mapinduzi

3. Wako ambao wamezaliwa kwenye familia tajiri, wakiamka asubuhi wanajiuliza ama wale soseji au mayai. Friji zao Zimejaa kuku, samaki nk. Pia wanachagua watoke na aina gani ya gari. Kundi hili halifahamu vizuri umasikini uliowagubika watanzania, shida wanazisikia kwenye vyombo vya habari, maisha yao hawajichanganyi na masikini kabisa, wanasoma shule na vyuo vya kitajiri kwa hiyo umasikini hawaujui. Kwa hiyo hawaoni kosa la CCM

4. Masikini lakini wanaipenda CCM mpaka kesho. Kundi hili liko vijijini. Linaipenda CCM kwa sababu ya kukosa elimu ya uraia, au hawapati habari kabisa. Shughuli yao kubwa ni kulinda nyani wasivamie mashamba yao. Kundi hili halijui maana ya maendeleo, wanatamani hata shule zisiwepo ili watoto wachunge ng’ombe na kulima, wakivuna mazao ya kutosha wakala wakashiba hata kama hawana shilingi ya kununua ndala wao usema CCM oyeeeee

5. Kuna kundi ambalo lenyewe limedanganywa kwa uvumi au kwa mazoea tu. Kwamba bila CCM kutakuwa na vita, linasema CCM imenilea hadi hapa nilipo. Kundi ili liko tayari kuchagua hata fisadi au jiwe ilimradi tu atokee CCM. Kundi hili linafahamu kabisa kuwa serikali haifanyi vizuri lakini kwa mazoea lenyewe limeendelea kuomba CCM ibaki madarakani ili amani iendelee kuwepo.

6. Imani. Kundi hili ni mchanganyiko wa wasomi na wasiosoma. Hawa kwa sababu ya imani kali kwa dini limehamua kuweka dini mbele lakini maendeleo baadae. Kundi hili linafahamu kabisa madudu ya CCM lakini limeendelea kuwa na msimamo kwa CCM. Kundi hili udanganywa kirahisi kwa propaganda za CCM kwamba Chama fulani ni cha dini fulani. Bila kujali msitakhabali wa nchi uamua kushabikia CCM lakini baada ya miaka mitano huwa halioni mabadiliko ya kimaendeleo. Kundi hili ndilo linalochelewesha mapinduzi ya nchi, kundi hili ukesha likiomba CCM iweke mtu wa dini yake bila kujali uwezo wa kiongozi husika, wako tayari hata kupigia kura mgombea mwenye mtindio wa ubongo ilimradi awe wa dini yake.

7. Mafisadi papa. Hili ni kundi ambalo ni chafu kabisa, halina hata dini. Limeiba pesa nyingi za Watanzania bila kujali kuwa kila siku kuna masikini wanakufa kwa kukosa dawa mahosipitalini. Kundi hili kwa kutumia nguvu ya pesa za wizi linatamani ligawie kila mtanzani laki moja ili wapigie kura CCM. Kundi hili linahitaji CCM idumu ili lipate security ya mali zake, liko tayari hata kuua au kung'oa mtu kucha anaehatarisha CCM kuanguka. Linahofu kuwa chama kingine kikiingia madarakani litafilisiwa na kupelekwa mahakamani. Ni kundi lenye nguvu kubwa hata sasa ndani ya CCM
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maandiko yako hapa JF, nilichogundua ni kua huna KITU KICHWANI.
 
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?

Nenda kwanza kamuulize Nape Nani aliingia mkataba wa kifisadi na Richmond(rejea kauli ya Lowassa/majibu kwa Boss kwenye kikao cha NEC kuhusu kujivua gamba)? IPTL, BUZWAGI na madudu mengine yanayotutesa leo Watanzania?
Akikupa jibu leta hapa JF halafu endelea na hoja yako.
 
Mkuu ugonjwa wako umefika pabaya!
Ha ha ha ha ah ah ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!. Unajua leo nimekuwa na kazig nyingi sana wala sijapata muda wa kucheka namna hii tangu asubuhi. Ahsante sana. Umenitengenezea jioni njema.
 
Hivi unachukuaga hata muda wewe zumbukuku kufikiri kabla ya kuweka uzi hapa mtandaoni? Hivi umesoma shule kweli wewe achilia mbali ya historia ya idd amin? Hivi leo wewe unaweza kuhoji utendaji wa Kikwete ukiwa mwana ccm na wakafurahi tu? Unaweza kuhoji juu ya Nape, Kinana au Mangula? Thubutu ama kweli nyani haoni kundule! Watu wamehoji tu udhaifu wa kikwete pale bungeni ulisikia kilichotokea? CCM nzima hasa kupitia kwa makinda na ndugai walivyoshindwa kusikiliza hoja na kuzuia usianikwe udhaifu wa kikwete hadharani? Nani aliuua huo mjadala km sio wana ccm wabunge? Ila kweli you need to grow up or make a self-referral to Mirembe hospital in Dodoma for psychiatric treatment.

Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg
 
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?
Kwa tuliosoma tz ni wengi. Kuna ruzuku ya elimu na hadi sasa nadaiwa na loan board na nilijikimu kwelikweli.
 
Kuhusu Utawala wa Idd Amin na Uganda kwa mapana yake soma " GUARDIAN ANGEL " kilichoandikwa na Aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Uganda.

Vita ya Kagera ilikuwa vita baina ya UKRISTO WA NYERERE NA KANISA LAKE na IDD AMIN NA UISLAM wake na ushahidi upo, Utafute vitabuni !
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Kumbe ukinywa mataputapu ndio unaongea hivi....aya bana..
Mataputapu at work......
 
Kuhusu Utawala wa Idd Amin na Uganda kwa mapana yake soma " GUARDIAN ANGEL " kilichoandikwa na Aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Uganda.

Vita ya Kagera ilikuwa vita baina ya UKRISTO WA NYERERE NA KANISA LAKE na IDD AMIN NA UISLAM wake na ushahidi upo, Utafute vitabuni !

Anajua History huyo?? Hajui sababu za Nyerere kumtetea Milton Obote....pia hajui kwa nini vitabu vya Historia Tanzania vinazungumzia mabaya ya Idd Amin kuliko hata vitabu vya historia huko Uganda
 
Back
Top Bottom