Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Mazishi ya CCM yatatawaliwa na vurugu sana. Na hivyo virungu vya mkapa maana yake ni kuwa atajaribu kupambana na wenzake kugombea urithi ambao ni kifo pia
Mungu yu upande wetu watanzania!
Mazishi ya CCM yatatawaliwa na vurugu sana. Na hivyo virungu vya mkapa maana yake ni kuwa atajaribu kupambana na wenzake kugombea urithi ambao ni kifo pia
Kwa huu mtiririko wa masimulizi, hii ni ndoto kweli. Ila ni mawazo subconscious ambayo ulitamani katika uhalisia yatokee. Na katika uhalisia yatatokea
Mazishi ya CCM yatatawaliwa na vurugu sana. Na hivyo virungu vya mkapa maana yake ni kuwa atajaribu kupambana na wenzake kugombea urithi ambao ni kifo pia
big up muotaji nimeikubali , ukombozi huoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo waja. pipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz , power
...na kuhusu sisi watz?
Mkuu,inabidi uote tena ni lini haya yatatukia?
Ndoto part 2 hahaha!
Mkuu,inabidi uote tena ni lini haya yatatukia?
Ndoto part 2 hahaha!
ni wakati wetu kuamua hatma yetu kama watanzania!
Je una mpenzi?
Mahusiano naye yakoje?
Hata kama si pepo, kama inakukera sali na kuikataa hiyo hali you will be free n happy!
una jini mahaba, maimuna. nenda kaombewe, la sivyo litakufanya usiolewe, au usipate watoto, au ukiolewa ugomvi na mumeo ndani hautaisha au ukiwa na mtoto ni hatari, jini hilo laweza kumla....ni jini mahaba hilo.