Nini tafsiri ya ndoto hii ?

habari za usiku wanajamii forums? kuna ndoto za kimapenzi huwa zinanisumbua. nimefanya mapenzi ndotoni na watu wengi sana, wakiwemo wasaniiwa bongo movie, wafanyakazi wenzangu,ndugu zangu marafiki zangu wa kiume wa kawaida, mbaya zaidi na hata wasichana wenzangu na mbaya kuliko zote huwa naota hata najipiga punyeto kwa vidole cha ajabu huwa napata raha ajabu.hiyo hali hunitokea karibu kila wiki ama baada ya siku mbili ama tatu. na jana niliota najipiga punyeto. nakereka sana na hizi ndoto, nifanyeje?
 
una jini mahaba, maimuna. nenda kaombewe, la sivyo litakufanya usiolewe, au usipate watoto, au ukiolewa ugomvi na mumeo ndani hautaisha au ukiwa na mtoto ni hatari, jini hilo laweza kumla....ni jini mahaba hilo.
 
Kwa mi ninavyofahamu ndoto zinatokana na mawazo ya kilasiku ya mwanadamu so labda unawaza sana kuhusu hivyo vitu.cha kufanya jaribu kupeleka mawazo yake sehemu nyingine
 
hlo ni pepo la majini anahakikisha mahusiano yako hayadumu ya kimapenzi from no where unaweza ukashangaa uhusiano unavunjka ghafla....kaz ya ibilsi ni kuiba,kuua na kuharibu.ndo mishen zake kuu hzo.lakn Yesu amekuja kutupa uzima tele(yohana 10;10),shetan hana nguvu yeyote is powerless ni kama simba aungurumae.lakn kuna simba wa kabila la Yuda YESU krsto anaweza kukuweka huru haijalishi umbali kwa sababu hulituma neno lake na kuwakomboa kutoka katika maangamizi ZABUR 107;20,naomba utamke haya maneno kwanza BWANA YESU,MIMI NI MWENYE DHAMBI,NISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE KWA DAMU YAKO ILIYOMWAGIKA MSALABANI,LIFUTE JINA LANGU KTK KITABU CHA HUKUMU LIANDIKE JINA LANGU KTK KITABU CHA UZIMA,ASANTE YESU KWA KUWA SASA NIMEOKOKA. weka mkono wako kifuani na sema maneno haya...nimefunkwa na damu ya YESU kuanzia utosini hadi ktk nyayo za miguu,mishale yote iliyoelekezwa kuja kwangu ndoto chafu,majini,mapepo nayarudisha kwa aliyeyatuma mara 7 ktk jina la YESU AMEN.SOMA ZABURI 70 KILA SIKU KABLA YA KULALA KWA SIKU 7.UPO HURU KATKA JINA LA YESU
 
Kifupi,you are possessed by demons. Na pengine ushazaa nayo. Ubungoubungo amekushauri vema na Chimbuvu ameeleza kwa kina mimi naongeza kdogo kuwa tumezungukwa na maadui wengi,na pepo wachafu(majini) ndio kazi yao. Mwombe Yesu aliyemwaga damu yake Takatifu kwa ajili ya dhambi zetu, kisha Nenda kwa mchungaji mwenye karama ya kufukuza pepo wachafu atakusaidia
 
Je una mpenzi?
Mahusiano naye yakoje?
Hata kama si pepo, kama inakukera sali na kuikataa hiyo hali you will be free n happy!
 
Majini mahaba hayo na yatakutesa sana. Nenda kaombewe,nawe kataa hiyo hali kwa maombi. Yesu ni jibu
 
Chimbuvu pastor convenant son umeshusha mistari mpk nikasema duu... ningejua ulikuwa unanisumbua usiku kwa ajili ujumbe mzuri km huu, nisingekutania tania...good job dogo
 
Last edited by a moderator:
Je una mpenzi?
Mahusiano naye yakoje?
Hata kama si pepo, kama inakukera sali na kuikataa hiyo hali you will be free n happy!

mpenzi ninaye, lakini ikipita wiki hatujangombana nashangaa sana. simaanishi kupigana, ila tunakorofishana vijimaneno vidogo,mara ananinunìa bila sababu,mara nahisi kumchukia. in short mahusiano yangu huwa hayadumu kwa muda mrefu. ninaweza kuwa na mahusiano na mtu halafu yakaishia hewani hewani bila hata kugombana yaani yanapotea tu.
 
una jini mahaba, maimuna. nenda kaombewe, la sivyo litakufanya usiolewe, au usipate watoto, au ukiolewa ugomvi na mumeo ndani hautaisha au ukiwa na mtoto ni hatari, jini hilo laweza kumla....ni jini mahaba hilo.

unayosema ni kweli, nilikuwa na mchumba hadi akanitambulisha kwao, lakini alipoishia sijui. maana aliacha kuwasìaliana na mimi from nowhere na mwisho wa siku akaoa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom