Nini tafsiri ya ndoto hii ?

mpenzi ninaye, lakini ikipita wiki hatujangombana nashangaa sana. simaanishi kupigana, ila tunakorofishana vijimaneno vidogo,mara ananinunìa bila sababu,mara nahisi kumchukia. in short mahusiano yangu huwa hayadumu kwa muda mrefu. ninaweza kuwa na mahusiano na mtu halafu yakaishia hewani hewani bila hata kugombana yaani yanapotea tu.

Then ndugu yangu, fuata huo ushauri wa wadau hapo juu. The devil amenafanya kazi ya ziada katika kuhakikisha mahusiano hayaendi vizuri.

Unahitaji derivelance!
 
Kwa mi ninavyofahamu ndoto zinatokana na mawazo ya kilasiku ya mwanadamu so labda unawaza sana kuhusu hivyo vitu.cha kufanya jaribu kupeleka mawazo yake sehemu nyingine

hapana ndugu yangu siwazi sana kuhusu mapenzi kama unavyofikiria, ila najikuta naota hivyo
 
Chimbuvu pastor convenant son umeshusha mistari mpk nikasema duu... ningejua ulikuwa unanisumbua usiku kwa ajili ujumbe mzuri km huu, nisingekutania tania...good job dogo

asubuhi yote unaenda wapi wewe C6?twende kwenye maonyesh ya syria gold crest hotel
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kulala una sali?

Kama husali ndo sababu, jaribu kuwa karibu na mwenyezi mungu.

Ungekuwa muislamu ningekuwambia jaribu kufunga, inasaidia kupunguza nyege.

Siku njema.
 
kulngana na imani yko mumbe sana mungu, sio jambo zuri kwakwel...myb nkuulze swal? Je una boifrnd?
 
farao baada ya kuota ndoto aliwaita waganga wake waje wamwambie ameota nini na maana yake,,,,shetani anajua kuna ndoto zinatoka kwa Mungu naye huwa anaingiza frustration ili mtu asifanikiwe,,hiyo link yako ndoto ya sex maana yake 'making it ......'si kweli nakataa hiyo mkuu,unapoota unafanya sex inategemea na situation uliyopo yaweza kuwa na maana ya tamaa za kimwili,na maana inakuwa tofauti ukimjua unayefanya nae mapenzi katika ndoto also kuna maana tofauti ukiota unafanya mapenzi na mbwa,,zote ni ndoto za kufanya mapenzi but different meaning.so kwa hiyo link hapanaa mkuu.
 
mwezi wa 6 nilipatwa haili ya ajabu kweli, maziwa yalijaa na kuuma kama vile mjamzito wakati nilikuwa nimemaliza period, tena yakawa yanatoa majimaji kama muda wa wiki hivi yakarudi katika hali yake. lakini pia huwa nanaota nimejifungua mtoto mara ninanyonyesha. oh Mungu wangu au ndio kusema nimezaa nayo?
 
Aisee hayo ni mapepo na kweli umeshazaa nayo ktk ulimwengu wa kiroho. Kimbilia kanisani haraka sana!

Au ingia humu <www.scoan.org> utaona link ya kutuma prayer request. Pia kuna no za simu (prayer lines) wapigie, watext muombe pamoja!
 
mbona kanisani huwa naenda kama kawaida? je hiyo si ni website ya tb joshua ama?
 
mbona kanisani huwa naenda kama kawaida? je hiyo si ni website ya tb joshua ama?

Ndio ya TB Joshua,
kuna kwenda kanisani na kujizamisha katika Roho Mtakatifu. 'Most of as are Christian by profession but not so in heart'.
 
Ndio ya TB Joshua,
kuna kwenda kanisani na kujizamisha katika Roho Mtakatifu. 'Most of as are Christian by profession but not so in heart'.

my dear, to be honest huwa sina imani na makanisa ya kiroho kabisa. na ili maombi yako yafanikiwe unahitaji kuamini na kama huna imani yote ni bure
 
my dear, to be honest huwa sina imani na makanisa ya kiroho kabisa. na ili maombi yako yafanikiwe unahitaji kuamini na kama huna imani yote ni bure

Wewe ni dhehebu gani?
Mimi ni mkatoliki but l have an open mind, nayadisqualify mengi tu; lkn sio kwa kukariri ni kwa kuchunguza. Mungu ni zaidi ya dhehebu na habagui mtu kwa dhehebu; na asikudanganye mtu, pamoja na kanisa/dhehebu bado kuna upako wa mtu na mtu; padre mmoja si sawa na mwingine!
 
mpenzi ninaye, lakini ikipita wiki hatujangombana nashangaa sana. simaanishi kupigana, ila tunakorofishana vijimaneno vidogo,mara ananinunìa bila sababu,mara nahisi kumchukia. in short mahusiano yangu huwa hayadumu kwa muda mrefu. ninaweza kuwa na mahusiano na mtu halafu yakaishia hewani hewani bila hata kugombana yaani yanapotea tu.

Hili jibu lako limenifanya nikumbuke ndoa fulani hivi, iliwahi kutufikia kwa usuluhisho. Mara nyingi watu wanaoota ndoto wanafanya mapenzi ndotoni au na viumbe fulani usiku, husababishwa na mambo ya kiroho zaidi kuliko baiolojia tuliyoizoea. Inasemekana wengi wao husumbuliwa na nguvu za giza na hivyo wanahitaji huduma za kiroho. Nguvu hizi za giza huingilia na kuvunja mahusiano yao na wapenzi wao wa kawaida na hata kama wakifunga ndoa, ndoa hizo huwa hazidumu kwa sababu ya hizo nguvu za giza. Nguvu hizo hujenga chuki kwa mwanamke huyo au mumewe au mchumba wake na kukuta mahusiano yao yanajaa mafarakano yasiyo na sababu za msingi.

Ni vyema ukawaona viongozi wako wa dini wakusaidie katika hili kulingana na imani uliyonayo. Huyo dada niliyemtaja mwanzoni yeye alipona tatizo lake baada ya kwenda kuonana na viongozi wake wa dini na kuhudumiwa na sasa nyumbani kwake hakuna ugomvi kabisa.

Pole sana.
 
Nenda kwenye nyumba za ibada ukafanyiwe maombi!

mpenzi ninaye, lakini ikipita wiki hatujangombana nashangaa sana. simaanishi kupigana, ila tunakorofishana vijimaneno vidogo,mara ananinunìa bila sababu,mara nahisi kumchukia. in short mahusiano yangu huwa hayadumu kwa muda mrefu. ninaweza kuwa na mahusiano na mtu halafu yakaishia hewani hewani bila hata kugombana yaani yanapotea tu.
 
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme namamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika​
ulimwengu wa roho (Efe 6:12).

Marko 16:17 ...Kwa jina langu watatoa pepo&#8230;. NENDA KAOMBEWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom