Ndoto hii ina maana gani?

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,213
2,326
Habari wapendwa wa jukwaa hili,

Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto hii; niko sekondari na washkaji zangu wawili (katika hao wawili mmoja nimesoma naye kweli sekondari lakini mmoja tulisoma naye primary) na tulikuwa tukifundishwa somo la Kiswahili na mwalimu ambaye kiuhalisia alinifundisha somo la Historia sekondari.

Katika hii ndoto hao washkaji wawili walikuwa wakigombana darasani, mimi nikiwatazama.

Nini tafsiri ya hii ndoto?

NB: Huwa naota hizi ndoto za kuwa shule mara nyingi.
 
Ndoto hazina maana yoyote. ni picha ya ubongo ina jitengenezea..

ukipuuza itakuupuza .

ukitaka kuichukulia maanani utajikuta una tapeliwa na watabiri
 
Ndoto za kishule shule ni kurudi nyuma kimaisha.
Jiangalie ulipo, ama siku si nyingi utapoteza kazi.
Huu ni ukweliii..au kuna jambo alipokuwa sekondari hakulitimiza katika ufaulu wake.pia ndoto hii pia inamaana kunajambo inatakiwa alitimize ile maisha yake yakae sawa.
 
Hapo ndo nachanganyikiwa sasa. Japo gani hilo natakiwa kulitimiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom