Nini tafsiri ya ndoto hii ?

ishara hz zitafuatana nao waaminio;kwa jina langu watatoa pepo................wataweka mikono yao juu ya wagonjwa,nao watapata afya marko 16;17,18.......is any among you sick?let him call the elders,,,,,,,,,,,,,,, ungekuwa karibu ningekuwekea mkono yangetoka hayo sababu ishara zinanifuata.ktk ulmwengu wa kroho unapata sawasawa na imani yako ila mponyaji n YESU KRISTO
 
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
 
Pole my young sis
Ni kuogelea tu kwa fun au you are struggling to save your life?
What else do you do, unakula kwenye ndoto?
asante sis
noo yaani maji yanakuwa mengi but nakuwa tu naogelea sizami wala siteseki but nakuwa nayaogopa ogopa mwanzoni then nakuwa free nayo pia kunakuwa na kingo na daraja kubwaaa kwenye hiyo mito...yaani mmmh
kula sijawai kuota hivo my dear
 
Hey....you never told me!

mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
 
Ukila kwenye ndoto inakuwa ninini Kaunga nishawahi ota hivyo mara kibao!
 
Last edited by a moderator:
Duh mie si mfasir bt wanasema ndoto za maji smtms haziashirii jambo jema ....
 
Mama yangu nimewakosea nini mimi hao, maana kutwa nikuota nakula kitu!
aisee ni noma ila nasikia sometimes ni ishara kuwa utakuwa tajiri kwani unaamka umeshiba?
ila unafaido?unakula bure aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom