Nini siri ya uweupe?

Nini siri ya uweupe?

Na hii mentality inafanya wanawake wajiharibu wakidhani kweli wanaume wanapenda wanawake weupe. Wapo watapenda weupe lakini wapo watapenda weusi...

Jikubali, elewa huyo aliyekuumba alitaka uwe hivyo.
Hoja Imeungwa Mkono
Wanajiharibu Sana Sana
 
Mimi rangi yoyote tu, maana kwenye kuchagua mwanamke huwa siangalii rangi

Akiwa mweupe nimempenda fresh
Akiwa mweusi nimempenda fresh
 
Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe.wengi wanasema uweupe unavutia.ila uweusi unaogofya sana wengi wanausema uweusi unaharibu kizazi
Mtoto colored ,bambadi uso soft usio chunusi ,natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaende hewani sekunde ,kwao Obay oysterbay masaki binti huyo mtanashati.
 
Back
Top Bottom