Nini siri ya uweupe?

Nini siri ya uweupe?

Hiki ndio kinawafanya mjichubue mkidhani wanaume wote wanapenda, endeleeni kujikoboa.
Hapa hatuongelei kujichubua watu tuna rangi zetu hasilia mixer mmanga manga..!!

Hao wa kujikoboa ni wako 😹
 
Hii inasababishwa na An inferiority complex,
Kuona watu weupe ni bora kuliko weusi,Superio vs Inferior,

Unakuta hata mtu akiwa ana ustaarabu wa kawaida tu,ataambiwa kua "Huyu jamaa ana mambo ya kizungu"

Unakuta mtu akiitwa mweusi anaona ni ubaguzi ila akiitwa mweupe anaona ni sifa!
 
Hapa hatuongelei kujichubua watu tuna rangi zetu hasilia mixer mmanga manga..!!

Hao wa kujikoboa ni wako 😹
Hatuongelei wenye natural light skin, tunwaongelea wanaodhani kujifanya weupe ni dili sana kwa mwanaume. Elewa somo ewe binti!!
 
Back
Top Bottom