Nini siri ya uweupe?

Nini siri ya uweupe?

Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe.wengi wanasema uweupe unavutia.ila uweusi unaogofya sana wengi wanausema uweusi unaharibu kizazi

Huo unaoita weupe, kwa wazungu unaitwa weusi...

Unamuona mtu kama Rihanna, Beyonce, Jada Pinket n.k wale wote wanaitwa weusi...
 
Black beauty (inside pink) napenda sana, na akiwa mweupe isiwe kajichubua , bora chocolate ila weupe wa kujichubua No.
 
Back
Top Bottom