Nini sababu ya mwanaume kumuogopa mwanamke?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,562
3,558
Nimdwahi kuwaona wanaume wengi wenye mabavu (wababe) wenye fedha wanaume wenye taaluma za (kibabe) mfano wanajeshi tena komandoo, wezi watumia silaha nzito, nimewahi kusikia madikteta mfano kiongozi wa nazi bwana Hitler wababe wa ngumi za ulingoni kama Mike Iron, wababe kama Iddi Amin, wanamuziki, wanamichezo nk.

Hivi ni kitu gani kinachofanya wanaume tuwe na utii/woga wa kufyata mkia kwa wanawake?

Naomba nipate walau majibu pengine ni asili au tunaogopa kunyimwa...sijui ni kitu gani, mjeda, jambazi, Bosi wa benki, mfanyabiashara mkubwa nk.

Ukifika nyumbani kila kitu ni hewala.

Nini sababu?
 

Attachments

  • 1483460242283.png
    1483460242283.png
    766.9 KB · Views: 36
Nimdwahi kuwaona wanaume wengi wenye mabavu (wababe) wenye fedha...wanaume wenye taaluma za (kibabe) mfano wanajeshi tena komandoo...wezi watumia silaha nzito...nimewahi kusikia madikteta mfano kiongozi wa NAZI bwana Hitler...wababe wa ngumi za ulingoni kama Mike Iron...wababe kama Iddi Amin...wanamuziki ....wanamichezo nk...

Ni mawili ama unanogesha stori au wewe ni muongo.
 
Ubabe wa kimwili ni tofauti na ubabe wa kiroho...

Wanaume tuna ubabe wa kimwili... Wanawake wana ubabe wa kiroho... Akiamua kukumiza moyo utaomba ardhi ipasuke.. Kila ukimuona unabadilisha njia.. Au unashikwa na kigugumizi... Ndiyo pale unakuta dume linalia kama toto dogo..
 
Sasa wewe na mbavu zako nene mwili kibanda ukifika kwa mkeo si unaomba? Inabidi uwe mdogo ka piritoni maana ukitumia ubabe umebaka...!
 
Back
Top Bottom