Kiukweli boss, mimi lengo langu lilikua kupunguza ashki, sasa baada ya kuingia kwenye uhusiano kumbe yeye alikua serious, kwa hiyo kila alichokua ananiambia mimi nakubali tu sawa, hata swala la umri alishaniuliza nikamwambia haina shida hiyo. Mwanzoni nilikua nimeridhika nae tu, ila nashangaa sasa hivi namchokaOK tufanye ivi ,kwan mahusiano mlonayo nimlikua ili badae muoane au ni kupunguzana ashiki ???
Jibu .
N.b ,,mschana anakupenda kutokana na maelezo yako .
Aaahhh Basi sawa ngoja nikushauri Kwa herufi kubwa .Kiukweli boss, mimi lengo langu lilikua kupunguza ashki, sasa baada ya kuingia kwenye uhusiano kumbe yeye alikua serious, kwa hiyo kila alichokua ananiambia mimi nakubali tu sawa, hata swala la umri alishaniuliza nikamwambia haina shida hiyo. Mwanzoni nilikua nimeridhika nae tu, ila nashangaa sasa hivi namchoka
Post sent using JamiiForums mobile app
Tehetehetehe haya bosskwa hiyo unatafuta bikira.....endelea utaipata tuuu.....unafikiria kutoa bikira ni kazi rahisi eeeehh....songa mbele...
Dah!mkuu hii sio nafasi yako bana,position yako pale juu[emoji115]Huna hisia nae tu mkuu..Ni bora umuache tu kuliko kuchezea hisia zake
Ni kweli kabisa kiongozi hilo ni la muhimu sanaAaahhh Basi sawa ngoja nikushauri Kwa herufi kubwa .
MWAMBIE ,, MWAMBIE UKWELI KUA HAUPO TAYARI KUMPOTEZEA MUDA WAKE SO AWE HURU NA MAISHA YAKE .
UTAOKOA 1- MUDA WAKE
2 - UTAMPA FURSA YA KUFANYA MAISHA IKIWEMO KUMPATA MWANAMME SAHIHI KWAKE .
NAHAPO UMWAMBIE KWELI ,, SIO KENDELEA KUMPOTEZEA MUDA WAKE MWENZAKO AWEKEZE MAISHA KWAKO MOYO WAKO NGUVU KWAKO ALAFU BAADAE UMZENGUE .
MWOKOE KWA KUMWAMBIA UKWELI .MAKE HER FREEE
Umewachoka wengi enhehahahaha nimecheka kwa ngv! hahahaa kweli kbs mkuu mwanamke akimchika mwanamume jaman ni shida!hhuhu!eti trapeza!
Yes sure mkuu msaidie ...unajua nibora MTU umlize Kwa kumwambia ukweli lakini sio umtakatishe USO wake Kwa tabasamu lilotokana na uongo ..Ni kweli kabisa kiongozi hilo ni la muhimu sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dah!mkuu hii sio nafasi yako bana,position yako pale juu[emoji115]
Sikiliza Toka Kwangu!
Una uzoefumhhhh!
Kama huna cha kushauri jaribu kupiga kimyaUkiwa na tabia ya kumtoa kasoro na kumchoka kirahisi kila mwanamke, pengine unataka wanaume bila kujua.