Yaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,Wewe unataka namba tu sio?? Hebu kwanza nipange utamwingia na gia gani, usije ukachanganya mafile
Mkuu sijui tufanyaje ili hii tabia iishe. Wanaume tuna taabu aseMzee kikubwa unakuwa na uhitaji wa Uchi tu Ukishaupata basii.
Mimi ninatatizo kila mtu ninayefahamiana naye hapa JF tukishajuana japo kidogo namchoka, mawasiliano yanapungua.
Nguvu za nini?SOMETIMES NGUVU ZIKIPUNGUA MNAANZAGA KUCHOKA MAPEMA, MNASINGIZIA MAPENZI NDO YAMEPUNGUA
Umeandika mulemule.........sasa mtoa mada mwache ajifanye ana vibwengo ataangukia pabaya hatosahau maishani mwakeYaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,
Nachoenda kufanya nikutumia Visa na changamoto unazompa ,nitazigeuza kua fursa kwangu ,,nitampgia kika Mara ,,nitamjali , I will give her my constant support ,,encourage her ,, hold her in my arms ,,, although nitakus mbali naye ,,, Badiliko lakwanza utakaloliona Nayeye ataanza kuku dharau ,kupunguza huduma anazokupa no call ..no meseji ..no nn ,,,, hapo ndo utajifunza Kosa gan baya alolifanys Adam namwisho Eva akafanya dhambi !!...
Ukiwa mbali kiroho ,kimwili ,,na kijeografia na mwanamke wako know that usipotumia akili atabebwa tuu aiseee .
Hawa viumbe kila siku nasema wanajua kupenda lkn wanapobadilika unaweza usiamini kama niyeye ambaye alikua hapitishi hats sikunde bila kukutafuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]
N.B .ACHA MPENDE HUYO MWANAMKE AISEE WALA USIMUACHE KABISA ,,SITANII ,,,UMPENDE KWELI KWELI KINYUME NAHAPO SIKU MOJA UTAMKUMBUKA TUUU NO WAY OUT.
Uo ugonjwa mimi nautamani unipate nashindwa. . Furaia uo ugonjwa kijana
Wanawake wenyewe hawaeleweki bora uendelee kuwachoka tuu
Usiombe wakuchoke ww utaisi dunia imekua Trapeza sio duala tena
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Mimi namuonea huruma ase, ila feeling nae Ndio sina hapa nimekuja kuomba ushauri nifanye nini ili nisimchoke? Yaani sitaki aumie kwa ajili yanguYaaan hilo mkuu uniachie Mimi mwenyewe ,,,
Nachoenda kufanya nikutumia Visa na changamoto unazompa ,nitazigeuza kua fursa kwangu ,,nitampgia kika Mara ,,nitamjali , I will give her my constant support ,,encourage her ,, hold her in my arms ,,, although nitakus mbali naye ,,, Badiliko lakwanza utakaloliona Nayeye ataanza kuku dharau ,kupunguza huduma anazokupa no call ..no meseji ..no nn ,,,, hapo ndo utajifunza Kosa gan baya alolifanys Adam namwisho Eva akafanya dhambi !!...
Ukiwa mbali kiroho ,kimwili ,,na kijeografia na mwanamke wako know that usipotumia akili atabebwa tuu aiseee .
Hawa viumbe kila siku nasema wanajua kupenda lkn wanapobadilika unaweza usiamini kama niyeye ambaye alikua hapitishi hats sikunde bila kukutafuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]
Kama unadhan anataka Vijiela vyako Basi faham kua moyo wake nimdogo San.
N.B .ACHA HIZO MKUU NAOMBA MPENDE HUYO MWANAMKE AISEE WALA USIMUACHE KABISA ,,SITANII ,,,UMPENDE KWELI KWELI KINYUME NAHAPO SIKU MOJA UTAMKUMBUKA TUUU NO WAY OUT.
Wala sikutishi, wait and see. Ikikutokea wala hata hutomuambia mtu utayaona mwenyeweUnanitisha sio? Yeye sio wa kwanza mbona sijaona hiyo karma, karma ataipata bwana ake aliyemtoa bikra tehetehetehe
Nitulie kivipi mkuu? Wewe hujui mwanamke ambae hujamtoa bikra ni mke wa mtu huyo! Alafu isitoshe wakati namuaproach mara ya kwanza, aliniambia ameshawahi kutendwa na bwana ake aliyemtoa bikra hivyo hawezi penda tena, mimi nikamwambia poa Lakin baadae akaanza kujileta mwenyewe, sasa inaonekana siku bwana ake akimtaka achomoitamaa ndo inakuponza.....hujui unachotaka......jaribu kutulia utaona jinsi alivyo na mahaba.....
OK tufanye ivi ,kwan mahusiano mlonayo nimlikua ili badae muoane au ni kupunguzana ashiki ???Mimi namuonea huruma ase, ila feeling nae Ndio sina hapa nimekuja kuomba ushauri nifanye nini ili nisimchoke? Yaani sitaki aumie kwa ajili yangu
kwa hiyo unatafuta bikira.....endelea utaipata tuuu.....unafikiria kutoa bikira ni kazi rahisi eeeehh....songa mbele...Nitulie kivipi mkuu? Wewe hujui mwanamke ambae hujamtoa bikra ni mke wa mtu huyo! Alafu isitoshe wakati namuaproach mara ya kwanza, aliniambia ameshawahi kutendwa na bwana ake aliyemtoa bikra hivyo hawezi penda tena, mimi nikamwambia poa Lakin baadae akaanza kujileta mwenyewe, sasa inaonekana siku bwana ake akimtaka achomoi