Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

Wema si ndio alimshawishi Nyalandu ahamie Chadema?!


Imesemwa kusoma hakuondoi ujinga kamwe....kama kweli Nyalandu alishawishiwa na Wema kuhama CCM basi ni kumuonea huruma tu kwani lazima akili yake itakuwa katika satatus ya "still loading kichwani mwake".
 
Wema ni asset ametupa madiwani 2 Kati ya 43. Uoni alivyo asset.


Hivi hata yeye mwenyewe Wema anayajuwa haya? Kwa kweli Mbowe anaua chama chake kwa kuchukua mizigo na kuirundika chamani. Hivi hajiulizi kwanini watendaji wake wanamkimbia kila kukicha? Kama hatakuwa hajapata ujumbe toka kwenye hii chaguzi ndogo basi network yake kichwani nayo itakuwa katika status ya "still loading."
 
nyumbu bana unafananisha vitu viwili tofauti, ngoja nikuache na ujinga wako tu, ukiacha kuwa karai utajitambua
 
...everybody sucks except hon Lissu of course....wish angekua mzima kwenye wakati huu....one may conclude kwamba ccm walijua wanaelekea wapi waliposhangilia kupigwa kwake risasi...

..anyways chadema wanatakiwa waje Na strategy mpya kabisa....otherwise watafika 2020 wakiwa hoi sio tu kisiasa bali hata kiafya huko mahospitalini kama Lissu...something needs to be done na chadema kwa kweli.....mi nadhani strategy ya jino kwa jino na pia maandamano ndio njia pekee....lazima watu wachukue mkondo wa Kenya ili kupambana na ccm .....vinginevyo watamezwa kama cuf.......

 
Hili ni kosa la Vyama vyote hadi ccm. Naona mnapokea na kutukuza bila kujiridhisha kama Upendo wake kwa chama ni wa kiitikadi au ni mhamiaji wa muda. Ndiyo maana enzi hizo mtu alitakiwa kuingia darasani miezi 3

Tofauti ni moja , hakuna mpuuzi atakaetoka Chadema na kuja CCM na kupewa nafasi za juu kama mnavyofanya CDM
 
tumpige tukiwa ndani mmh
 
Hakuna kitendo kilichonishangaza kama Wema kupokelewa kwa mbwewe! Kupewa ulinzi na kuishia kulalana na Mbowe!Rubbish
 
Ukiona thread kama hii ujue makamanda washastuka Wema anarudi CCM ....kwanini hamkusema kipindi mnafanya mbwembwe kibao? ....
 
Vitu vingine vinatokea tujifunze. Tukubaliane ule upuuzi wa 2015 umetugharimu sana. Lazima tujitafakari, tukiri makosa na kujirekebisha kwa dhati ili tuaminike upya. Watu wenye moyo safi bila unafiki kama Mnyika ndio maana hili limempa shida mno ....
 
Vitu vingine vinatokea tujifunze. Tukubaliane ule upuuzi wa 2015 umetugharimu sana. Lazima tujitafakari, tukiri makosa na kujirekebisha kwa dhati ili tuaminike upya. Watu wenye moyo safi bila unafiki kama Mnyika ndio maana hili limempa shida mno ....
Tumerudi nyuma mno
 
Niliwaambieni mapema sana. Bado mtataka kubishana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…