hata Arusha huyo mbunge anyegombea maiti hana tofauti na hao unaowasema wa Dar, so wapo mikoa yote.Malaya wanaojiuza ni wengii sana ...
Magari sio mengi kiivyo sema barabara ni finyu na chache.Madereva tumekuwa wengi sana kwa sababu ya magari automatic. Serikali ipige marufuku kuagiza magari automatic, yaagizwe manual tu!!
Matatizo ya DarSisi wakazi wa mkoa huu wa Darisalama na wageni wetu hebu tuorodheshe kero sugu zinazoukumba mkoa wetu huu ili kuwasaidia watatua kero wazisikie na kuzifanyia kazi.
Kwa kuwa hawawezi kufika ktk kila kona basi mimi na wewe ndio wawakilishi wazuri kuziorodhesha kero zetu.
1.Malori kuingia mtaani na kuharibu barabara
2.Njia mbovu
3.Mfumo wa maji taka
4.Garage bubu
5.Wizi wa magari na vifaa vya magari wakati wanunuzi wanajulikana
6.
7.
8
9.
10.
Haya tiririka ndugu
Kwa hiyo dereva wa auto akupewa manual haiwezi?Madereva tumekuwa wengi sana kwa sababu ya magari automatic. Serikali ipige marufuku kuagiza magari automatic, yaagizwe manual tu!!
Hawawezi kabisa, mjaribu mmoja uone!!Kwa hiyo dereva wa auto akupewa manual haiwezi?