Kwani jeshi si kwa mujibu wa sheria?ngoja tuwasubili wajuzi watujuze...
Wapo ambao hawajaenda na chuoni wameenda kama kawaida. Hakuna tatizo kwa nijuavyo mimi.
Pia kwa wasichana ushauri wasiende maana wajeda watafaidi
Huyu ninaemzungumzia ni mvulana ingepaswa aende ila hataki. Ndio nikataka kujua kama kuna madhara yoyote nimpe angalizo mapema before its too late.
Habari zenu wana jamvi
Kuna mtoto wa kaka kamaliza form six mwaka huu na kapangiwa kwenda jeshini mwenzi ujao. Hataki kabisa kwenda huko jeshini. Naombeni kujua impact yake ili nikambwagie tusije kulaumiane baadae. Yeye anasema jeshi halina ishu mara ataenda baadae akimaliza chuo mara sijui nini. Mimi sikwenda jeshini maana enzi zangu jeshi lilikuwa limeshafutwa. Nitashukuru kupata mawili matatu kutoka kwenu.
Asanteni kwa mchango wenu wa mawazo. Ngoja nikaongee nae mara ya mwisho maana kama safari anatakiwa aanze jumapili kwenda Tabora ikiwa tutaelewana. I just pray aende na hivi ni miezi mitatu tu sio mingi
kwenye ajira kuanzia mwaka wao atatakiwa kuwa na cv ya j.k.t vinginevyo hapati kazi...!
Kazi zenyew ni zipi hizo kama wanapeana kindugu ya nini kwenda kuteseka huko jkt?kwenye ajira kuanzia mwaka wao atatakiwa kuwa na cv ya j.k.t vinginevyo hapati kazi...!