Habari zenu wana jamvi
Kuna mtoto wa kaka kamaliza form six mwaka huu na kapangiwa kwenda jeshini mwenzi ujao. Hataki kabisa kwenda huko jeshini. Naombeni kujua impact yake ili nikambwagie tusije kulaumiane baadae. Yeye anasema jeshi halina ishu mara ataenda baadae akimaliza chuo mara sijui nini. Mimi sikwenda jeshini maana enzi zangu jeshi lilikuwa limeshafutwa. Nitashukuru kupata mawili matatu kutoka kwenu.