Nini maana ya...

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
1. LIBENEKE
2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI

Natanguliza shukurani - Asanteni
 
WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
1. LIBENEKE
2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI

Natanguliza shukurani - Asanteni
1. Libeneke: Kwa ufahamu wangu neno ili ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya msimu), na maana yake ni Kung'ang'ania jambo bila sababu ya maana.

2. Msaada katika Tuta/Tutani: Huu msemo umepatikana kipindi kile matuta ya barabarani ndio kwanza yamewekwa, abiria wengi wa mabasi ya daladala, walikuwa wakiomba msaada wa kushuka kwenye hayo matuta au jirani ya hayo matuta kwani mara zote mabasi yakifika karibia na hayo yalikuwa yakipunuza mwendo...!
 
Nadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.
asante mkuu nimejua maana sasa,inabidi uwe unatufasilia maana huku uswazi hayo maneno wamegeuza lugha ya taifa
 
Back
Top Bottom