Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,349
- 144,919
Obama hajasoma level ya Ph.D, ila technically ni Juris Doctor kwa sababu ana degree ya sheria. Degree ya Sheria Marekani ni Juris Doctor (J.D)Kwa hiyo angependa maujiko angejiita Dr. Obama.
Nchi kama Marekani, si ma doctor wote wana Ph.D. Kunda ma doctor wengine wana Ed.D (Doctor of Education) au Psy.D (Doctor of Psychology)
Jamii zilizoendelea kielimu, kama mtu hayupo katika kazi za kufundisha au research, kujiita Dr. inaonekana ulimbukeni.
Watu kama Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Marekani Robert Gates, ana Ph.D, lakini alikuwa anaitwa tu Defense Secretary, Robert Gates. Kwa sababu mtu kuwa na doctorate si kitu cha ajabu.
Watu wengine ambao wana Ph.D lakini mara nyingi husikii wakiitwa "Dr" ni Condoleeza Rice na Susan Rice.
Kuhusu tofauti ya Dr na Professor, inategemea na mfumo wa nchi.
Kwa Marekani, Professor ni mtu anayefundisha chuo Kikuu tu. Nakumbuka wakati naanza chuo, kuna Professor mmoja tulimuita Dr., tukifikiri ni Dr., akatusahihisha kwamba yeye hajafanya doctorate degree yake bado, kwa hiyo tusimuite Dr. yeye ni Profesa tu.
Lakini kwa Tanzania, nilivyoona, ni kwamba, U Profesa ni cheo fulani, kwa hiyo kuna watu wengi wenye doctorate zao ni ma Doctor so and so, lakini hawajafikia cheo cha u Profesa.
PhD maana yake ni Permanent head demage[emoji16]Habari zenu wadau wa JF.
Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali.
Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr).
Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary Clinton na nikagundua wamesoma mpaka level ya PHD lakini sijawahi kusikia wanaitwa Doctor tofauti na hapa kwetu.
Mfano rais wetu John Pombe Magufuli ana PHD anaitwa Doctor.Obama pia ana PHD na aliwahi kufundisha Chuo kikuu ila sikuwahi kusikia akiitwa Doctor au Proffesor.
Hii imekaaje ndugu wa JF naomba kuelimishwa.
Marekani Profesa wa kawaida hata mimi nampita mshahara, ni mtu wa kawaida sana. Ni mwalimu tu.Nimekusoma vizuri.
Nilichokielewa zaidi ni kwamba Kuna tofauti Kati ya nchi na nchi.
Sema Tanzania Kuna ka harufu kakupenda maujiko[emoji1787].
Hii ni kwa mifumo ya Tanzania.Marekani Professor ni mwalimu wa Chuo Kikuu hata kama hana Ph.D.ukiwa na Bachelor > Tutorial Assistant
Masters > Instructor
PhD > Lecturer
PhD ( experience ya mda mrefu as Lecturer ) > Senior Lecturer
PhD ( experience ya mda mrefu as Senior Lecturer ) > Associate Professor
PhD ( ukishafanya ma research yao ) > Full Professor
so kuna tofauti kati ya Associate Professor na Full Professor
Wengi tulionao ni Associate Professor
Kiranga kichwa kiko vizuri. Ila mbona huu muda wa kazi uko jf?Obama hajasoma level ya Ph.D, ila technically ni Juris Doctor kwa sababu ana degree ya sheria. Degree ya Sheria Marekani ni Juris Doctor (J.D)Kwa hiyo angependa maujiko angejiita Dr. Obama.
Nchi kama Marekani, si ma doctor wote wana Ph.D. Kunda ma doctor wengine wana Ed.D (Doctor of Education) au Psy.D (Doctor of Psychology)
Jamii zilizoendelea kielimu, kama mtu hayupo katika kazi za kufundisha au research, kujiita Dr. inaonekana ulimbukeni.
Watu kama Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Marekani Robert Gates, ana Ph.D, lakini alikuwa anaitwa tu Defense Secretary, Robert Gates. Kwa sababu mtu kuwa na doctorate si kitu cha ajabu.
Watu wengine ambao wana Ph.D lakini mara nyingi husikii wakiitwa "Dr" ni Condoleeza Rice na Susan Rice.
Kuhusu tofauti ya Dr na Professor, inategemea na mfumo wa nchi.
Kwa Marekani, Professor ni mtu anayefundisha chuo Kikuu tu. Nakumbuka wakati naanza chuo, kuna Professor mmoja tulimuita Dr., tukifikiri ni Dr., akatusahihisha kwamba yeye hajafanya doctorate degree yake bado, kwa hiyo tusimuite Dr. yeye ni Profesa tu.
Lakini kwa Tanzania, nilivyoona, ni kwamba, U Profesa ni cheo fulani, kwa hiyo kuna watu wengi wenye doctorate zao ni ma Doctor so and so, lakini hawajafikia cheo cha u Profesa.
chakaProfessor ni cheo kufundishia tu, kama unavyoita Mwalimu.
Yeyote mwenye doctorate degree anaweza kuitwa Doctor.
Ni PhD siyo PHD. - Doctor (D) of Philosophy (Ph).Habari zenu wadau wa JF.
Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali.
Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr).
Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary Clinton na nikagundua wamesoma mpaka level ya PHD lakini sijawahi kusikia wanaitwa Doctor tofauti na hapa kwetu.
Mfano rais wetu John Pombe Magufuli ana PHD anaitwa Doctor.Obama pia ana PHD na aliwahi kufundisha Chuo kikuu ila sikuwahi kusikia akiitwa Doctor au Proffesor.
Hii imekaaje ndugu wa JF naomba kuelimishwa.
Tafiti ngapi zina mfanya awe professor kamili, maana bongo kuna Associate professor na Professor sijui kama nazo ni tofauti?1. Dr. - Holder wa degree tatu katika eneo moja la maarifa. Anakuwa mbobezi wa eneo hilo. Bachelor degree, Masters degree, na Doctor of Philosophy. Muhimu eneo moja la maarifa.
2. Profesor- Katimiza kigezo 1. + tafiti nyingi katika eneo husika, vigezo huweza kutofautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine, ili kufikia hatua hii.
2*. Profesor-Katimiza kigezo 1. + kafanya tafiti ama jambo ambalo ni unique pia linathibitika kitaalamu.
Mtu kujitambulisha/kutojitambulisha kwa ngazi yake ya elimu ni utashi binafsi bado haipunguzi lolote katika hadhi yake kielimu.
Hahah inawezekana, lakini kuna kipindi nilikuwa nasoma Marekani Accounting, Dada aliyenifundisha hakuwa na Phd, lakini alikuwa anaitwa Professor...na siyo huyo tu, kuna wengi nimekutana nao hawana PhD lakini wanaitwa professor. hivyo nikaamini siyo lazima kuwa na PhD kuwa professor.chaka
PolePhD ndiyo shahada ya juu kabisa kutolewa na chuo kikuu, unahitaji kuwa na PhD ili utambulike kama Professor, Professor ni cheo cha mtu anae anaefisha research na taaluma wa wakufunzi wanaotafuta shahada ya PhD na mara nyingine chini yake.
Watu wanaandika pumba saa ingine, si umeonachaka