BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,743
- 3,884
Nimeacha si kwa sababu nimechoka, bali kwa sababu najiheshimu. Nataka kufika kwenye ndoa nikiwa msafi ili nioe mwanamke msafi—ninajiandaa, sio najinyimaSababu hasa ya wewe kuacha kushiriki tendo la ndoa ni nini? Kuwa mkweli kwa asilimia 100 naweza kukusaidia suluhisho lake haijalishi ni nini