Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Ndoto ni mawazo yako ya siku nzima ambayo yanafanyiwa mchakato au kuchakatwa wakati umelala....

Kwa maelezo yako madogo nimegundua mambo 2.
1. Mawazo yako mengi katika akili yako wamekuwa katika mapenzi.
2. Hisia zako kwa siku ziko katika yalibya namna hiyo
 
Mkuu, hivi inawezekana vipi saa nne usiku nimeshiriki tendo na mke wangu nikatosheka kabisa yaani sihitaji tena, halafu usiku huo huo uote usingizini unafanya mapenzi na mtu mwingine?

Kama ingekuwa imepita wiki au wiki 2 bila kushiriki tendo na mtu baadaye usiku nikaota nisingeona ni kitu cha ajabu, lakini the same day! Huoni kama kuna kitu siyo sawa? Na ninaishi na mke
 
Unaomba ushauri halafu unabishana na washauri, haya basi unatembelewa na jini mahaba na umebakiza siku chache ufe hivyo katoe sadaka kwa Mwamposa ukombolewe
 
Mkuu, hivi inawezekana vipi saa nne usiku nimeshiriki tendo na mke wangu nikatosheka kabisa yaani sihitaji tena, halafu usiku huo huo uote usingizini unafanya mapenzi na mtu mwingine?

Kama ingekuwa imepita wiki au wiki 2 bila kushiriki tendo na mtu baadaye usiku nikaota nisingeona ni kitu cha ajabu, lakini the same day! Huoni kama kuna kitu siyo sawa? Na ninaishi na mke
Tatizo sio kutosheka, hapa nadhani hujanielewa. Nimesema mawazo na hisia

Mawazo yanaweza kuwa ya leo ya jana au juzi, hisia zaweza kuwa leo, jana au juzi. Ila ndoto unazoota zinatokana na maisha yako ya kila siku na vitu unavyo interact navyo
 
Sio jini Wala nini ni mawazo Tu ya kugonga unayalimbikiza kutwa mzima.

Hakikisha kwenye Maisha yako unawaza saana kitu ambacho kinaweza kukupa mzuka. Kama ni Pesa iwaze Sana kama ni mapenzi waza saana
🤣

Kwamba jamaa anawaza kulomba tu full days !?
 
Mkuu, hivi inawezekana vipi saa nne usiku nimeshiriki tendo na mke wangu nikatosheka kabisa yaani sihitaji tena, halafu usiku huo huo uote usingizini unafanya mapenzi na mtu mwingine?

Kama ingekuwa imepita wiki au wiki 2 bila kushiriki tendo na mtu baadaye usiku nikaota nisingeona ni kitu cha ajabu, lakini the same day! Huoni kama kuna kitu siyo sawa? Na ninaishi na mke
😄😄😄
 
Jini mahaba akiwa mwilini mwako Kuna dalili ambazo hukutokea katika maisha ya kawaida kutodumu na wanawake katika mahusiano, Kufubaa kiuchumi kutofanikisha mipango na malengo Yako kugombana sana na mke/mume ndani ya ndoa uume kukosa performance nzuri au kulala kabisa

Kwa wanawake ni kukosa ndoa kuachwa mara Kwa mara wanapo kuwa katika mahusiano kukosa kushika mimba , Akishika mimba zinatoka kuachika ndani ya ndoa yake and the likes

Katika hizo dalili tajwa hapo juu wewe unaandamwa na ipi !?
 
Sura ta binti wa zamani unaijua?😂
Hakikisha unatoa huduma iliyojitoshekeza usije kuleta milio humu🤣
Papatu papatu natenga bajeti kabisa ataleta ushuhuda wa nyuzi na mjadala mkali humu
 
Wakuu

Nina swali naomba msaada wa tafsiri

Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu

Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara hivyo siyo kwamba nina upwiru(hali ya Kutoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara), hapana. Hata leo usiku jana nimeshiriki tendo la ndoa cha ajabu usingizini nikaota tena nashiriki na mtu mwingine.

Hii ni nini?
Surya
 
Jini mahaba akiwa mwilini mwako Kuna dalili ambazo hukutokea katika maisha ya kawaida kutodumu na wanawake katika mahusiano, Kufubaa kiuchumi kutofanikisha mipango na malengo Yako kugombana sana na mke/mume ndani ya ndoa uume kukosa performance nzuri au kulala kabisa

Kwa wanawake ni kukosa ndoa kuachwa mara Kwa mara wanapo kuwa katika mahusiano kukosa kushika mimba , Akishika mimba zinatoka kuachika ndani ya ndoa yake and the likes

Katika hizo dalili tajwa hapo juu wewe unaandamwa na ipi !?
Ukimaliza utoe na solution ndugu sheikh majini🤗
 
Jini mahaba anaitwa, spiritual husband/wife anasumbuaga sana.. anakuletea sura mpaka za ndugu na marafiki zako!
Kama ni hivyo si aendelee kumgonga tu. Au tumuulize tu mshikaji unajisikiaje unapofanya na huyu jini na mtu wa kawaida?. Unakuta huko kwa jini ni kutamu zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom