Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Wakuu

Nina swali naomba msaada wa tafsiri

Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu

Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara hivyo siyo kwamba nina upwiru(hali ya Kutoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara), hapana. Hata leo usiku jana nimeshiriki tendo la ndoa cha ajabu usingizini nikaota tena nashiriki na mtu mwingine.

Hii ni nini?
Nimeota namfira Dem mpaka nimemwaga kitandani
 
Huu uzi sijapinga chochote , ila sayansi inasema ndoto ni kazi za ubongo , hisia na kumbukumbu zilizohifadhiwa zinaendelea kuchakatwa tu, mwili ukiwa katika hali ya sleeping paralysis , na mwingine akisema ni jini mahaba , hapo tunapinga ili kujua kajuaje na inakuaje vipi mpaka akafikiri hivyo
Kuna mitazamo tofauti ya ndoto kama wa kisayansi, kisaikolojia na kiroho. Shida huwa inakuja mtu anapoegemea upande mmoja tu wa mtazamo wa ndoto, mfano wewe umeegemea kwenye sayansi tu lakini ujue sayansi ina misingi yake na hivyo ina mipaka yake hii ni point muhimu kuielewa hapa ni muhimu sana.

Kuna wengine nao huchukulia ndoto kwa mtazamo wa kisaikolojia tu na wapo ambao kila ndoto huwa wanaona ni suala la kiroho tu.

Binafsi naelewa sayansi ina mchango wake katika suala zima la usingizi na ndoto, saikolojia pia ina nafasi yake na upande wa kiroho pia una nafasi yake.

Ndio maana unaona mimi sijatoa maelezo ya moja kwa moja kuhusu ndoto ya mleta mada kwa sababu natizama ndoto katika mitazamo ya kisaikolojia na kiroho hivyo siwezi kutoa jibu tu siwezi kujua hiyo ndoto ipo upande gani.

Suala la kuhusu jini mahaba katika ndoto ni kwamba hizo ndoto kuhusishwa na jini mahaba ni ishara tu kuwa pengine ni jini mahaba ila uhakika wa kujua hilo ni kupitia kufanya uchunguzi wa kiroho.
 
Ndoto ni mawazo yako ya siku nzima ambayo yanafanyiwa mchakato au kuchakatwa wakati umelala....

Kwa maelezo yako madogo nimegundua mambo 2.
1. Mawazo yako mengi katika akili yako wamekuwa katika mapenzi.
2. Hisia zako kwa siku ziko katika yalibya namna hiyo
Ila mkuu kuna ndoto zengine huwa hazipo kabisa kwenye uhalisia mfano kupaa, sasa utasema huyo mtu huwa anawaza mambo ya kupaa paa?
 
Kuna mitazamo tofauti ya ndoto kama wa kisayansi, kisaikolojia na kiroho. Shida huwa inakuja mtu anapoegemea upande mmoja tu wa mtazamo wa ndoto, mfano wewe umeegemea kwenye sayansi tu lakini ujue sayansi ina misingi yake na hivyo ina mipaka yake hii ni point muhimu kuielewa hapa ni muhimu sana.

Kuna wengine nao huchukulia ndoto kwa mtazamo wa kisaikolojia tu na wapo ambao kila ndoto huwa wanaona ni suala la kiroho tu.

Binafsi naelewa sayansi ina mchango wake katika suala zima la usingizi na ndoto, saikolojia pia ina nafasi yake na upande wa kiroho pia una nafasi yake.

Ndio maana unaona mimi sijatoa maelezo ya moja kwa moja kuhusu ndoto ya mleta mada kwa sababu natizama ndoto katika mitazamo ya kisaikolojia na kiroho hivyo siwezi kutoa jibu tu siwezi kujua hiyo ndoto ipo upande gani.

Suala la kuhusu jini mahaba katika ndoto ni kwamba hizo ndoto kuhusishwa na jini mahaba ni ishara tu kuwa pengine ni jini mahaba ila uhakika wa kujua hilo ni kupitia kufanya uchunguzi wa kiroho.
Mimi sio muumini hivyo unaposema kiroho sikuelewi siamini hayo mambo
 
Mkuu, hivi inawezekana vipi saa nne usiku nimeshiriki tendo na mke wangu nikatosheka kabisa yaani sihitaji tena, halafu usiku huo huo uote usingizini unafanya mapenzi na mtu mwingine?

Kama ingekuwa imepita wiki au wiki 2 bila kushiriki tendo na mtu baadaye usiku nikaota nisingeona ni kitu cha ajabu, lakini the same day! Huoni kama kuna kitu siyo sawa? Na ninaishi na mke
Hizo ndoto hukutokea mara kwa mara tu au hutokea ukitoka kufanya mapenzi?
 
Unaomba ushauri halafu unabishana na washauri, haya basi unatembelewa na jini mahaba na umebakiza siku chache ufe hivyo katoe sadaka kwa Mwamposa ukombolewe
Mkuu kwahiyo ulitaka alichoelezwa akubali tu hata kama ni tofauti na experience yake ilivyo? Yeye kasema hana mawazo ya ngono akilini mwake na ndio maana anashangazwa na kupata hizo ndoto na kama angekuwa na hayo mawazo basi asingeshangaa kuota hizo ndoto.
 
Hizo ndoto hukutokea mara kwa mara tu au hutokea ukitoka kufanya mapenzi?
Zamani kama mwaka mmoja au miwili hivi ilikuwa Inanitokea mara kwa mara baadaye hii hali ikaacha mpaka nilisahau, juzi sasa ndiyo imenitokea tena

Hii hali kama ikinitokea nikiwa sijashiriki tendo la ndoa muda mrefu labda wiki 2 au wiki 4 hivi ikinitokea huwa hainipi shida yoyote sababu najua ni hali ya kawaida

Huwa napata mshituko ikitokea siku ambayo nimeshiriki halafu itokee niote tena hapo ndiyo huwa naona siyo kitu cha kawaida

Hata nikishiriki leo halafu siku 1 au 2 baadaye nikaota nashiriki kwangu hilo siyo jambo la kawaida lazima linipe mawazo
 
Mkuu kwahiyo ulitaka alichoelezwa akubali tu hata kama ni tofauti na experience yake ilivyo? Yeye kasema hana mawazo ya ngono akilini mwake na ndio maana anashangazwa na kupata hizo ndoto na kama angekuwa na hayo mawazo basi asingeshangaa kuota hizo ndoto.
nimetoa maoni yangu tu,sio sheria
 
Ila mkuu kuna ndoto zengine huwa hazipo kabisa kwenye uhalisia mfano kupaa, sasa utasema huyo mtu huwa anawaza mambo ya kupaa paa?
Kupaa zina maana gani ? Una sound kama mganga wa kienyeji
 
Kwanza shukuru Mungu hata unapata ndoto za unafanya mapenzi.
Wenzako huwa wanapigwa pin kisawasawa hata njozi tu hupati
Yani unakuwa na Ibiris halafu kakuziba humuoni,
Kwahyo unabaki gizani maisha yote bila kujua unasumbuliwa na Nini✍️
Kupata njozi maana yake ni kuoneshwa tatizo.....

Tizama ni kitu gani huwa kinakusumbua sana kwenye maisha yako, Yani kinakuwa na miendelezo wa kufeli, ambacho huwa unamuomba Mungu mfululizo....

Hicho kitu ndio sababu ya kuota hizo ndoto
(Maana yake chanzo cha tatizo ni huyo Ibiris
Kwa lugha fupi unaoneshwa tatizo n nn.
Kama huwa unamuomba Mungu... (Basi ni Mungu kakuonesha

Kama unaomba mizimu... Basi n mizimu umekuonesha

Kama unaomba majinn... basi ni majinn ndo wamekuonesha!!

Kiufupi Imani yoyote ya kiroho uliyokuwa nayo ambayo unaamini inakulinda ndio imekuonesha

Note: Jinn mahaba mara nyingi huwa hampi mtu njozi za uchafu anaomfanyia..... sababu akifanya hvyo itakuwa chanzo cha kutaka kumtoa

Leo ww umekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata njozi chafu, means usingeota usingejua kama Kuna shida sehemu... hii ndio sababu huwa hawawapi watu njozi za machafu wanayowafanyia!!
Ukiona umepata njozi maana yake umepata bila ridhaa yake, ikiwa na maana Kuna nguvu nyingine ambayo ipo upande wako ndo imekusanua
Nashukuru kwa muda wako mkuu

Kitu pekee namuomba Mungu mara nyingi ni nipate utajiri na mimi niishi ndoto zangu na maisha yangu kama nitakavyo.

Ingawa mimi siyo maskini sana (naishi kwangu na chakula siyo shida) ila naziona fursa nyingi bila idadi tatizo mara zote ni mtaji.

Kuna mtu mtaani nimemshirikisha hii ndoto ya kufanya tendo la ndoa usingizini amenijibu ni ishara nafanyiwa uchawi yaani kuna mtu au watu wananiroga. Miaka ya nyuma nilikuwa siamini kuhusu uchawi wa kurogwa ila naanza kuwa na wasiwasi huenda kweli nalogwa (kwanini nipate hela ya kula tu na siyo ya kufanya biashara na maendeleo?)

Ikiwa una maelezo na uzoefu zaidi kuhusu ndoto za namna hii Tafadhali endelea kunielezea nitashukuru sana
 
Jini mahaba anaitwa, spiritual husband/wife anasumbuaga sana.. anakuletea sura mpaka za ndugu na marafiki zako!
Ubongo wake Succubus wala hawi hivyo, Succubus ana target zake muhimu yaan km wewe hapo Incubus anaweza akakukula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom