Umeuliza Victims wanapata shida gani na mimi ni male anakuja demon wa kike, ngoja nikwambie demon wa kike anavyokuja anakua km tausi unamjua tausi sasa anageuza mkia ule ulivyochanua kwa hio unaona rangi rangi nyingi mara paapu umetegeshewa kitu unashanga chuma inaanza kufyonzwa, ni suala la haraka km una nguvu kubwa ni kufukuza ukikosea tu umekojoa demon kachukua point yumo ndani, yaan mpaka umzuie na umfukuze ndio anaenda harudi tena, halafu hilo swali usiniulize tena sigongwi ila nagonga yaan ni sawa niseme nitakugonga