Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Ajizuieje yuko ndotoni? Ushauri mwingine bana!
Wewe hujawahi kujizuia ndoto yaaan ukabdirisha ndoto unayotaka hujawahi yaan wewe ndio unaendeshwa na ndoto sio wewe unaziendesha ndoto, kuna namna unaweza ukafanya hivyo yaan wewe ndio unakua pilot wa kile unachokitaka unaweza ukaweka hata pause ndoto isimame kwanza halafu uka play, hujui?
 
Niliacha kufanya mapenzi kwa muda mrefu sasa kama miaka miwili sasa.

Kila baada ya miezi kadhaa miwili mitatu lazima nitoe nipate wet dreams lakini kila kitu kipo sawa kwa upande wangu na huwa na ifurahia sana hiyo hali nakuwa natambua kabisa kuwa sperms zimejaa zimejitoa zenyewe.

Sioni lolote ambalo limekaa vibaya kwenye upande wa maisha yangu.
 
Sijui, acha kushangaa toa maelekezo watu wasimamishe ndoto!
 
Sawa nigonge tuone!
Lucid Dreaming ni kitendo ambacho unaota ila unajua kabisa hapa ninaota kwa hio unakua na uwezo wa kui-controll hio ndoto unayoiota na unaweza uka-switch kutoka ndoto moja kwenda ndoto nyingine km unavyobadirisha wimbo kwenye cassette, wengi hufanya yale matendo mazuri mazuri tu mfano kujaribu kupaa mara kapaa kweli anashangaa yupo auto pilot kesho anasema nimeota napaa, lucid dream
 
Sijawahi kusikia haya mambo 🙌🏾
 
Sijawahi kusikia haya mambo 🙌🏾
Sasa huyu mwenzetu yeye kitu anachopenda ni hicho kufanya mapenzi na kweli ubongo unamletea manzi mzuri kabisa anaanza kumgonga anakugonga Seran mpaka unang'ata shuka akishtuka Seran hayupo kumbe ni Lucid dream ambayo alikua na uwezo wa kuizuia
 
Umesema unashiriki!,sasa kama ni ushirika si lazima kuwe na watu wengi au sijaelewa vizuri ?
 
Niliacha kufanya mapenzi kwa muda mrefu sasa kama miaka miwili sasa.

Kila baada ya miezi kadhaa miwili mitatu lazima nitoe nipate wet dreams lakini kila kitu kipo sawa kwa upande wangu na huwa na ifurahia sana hiyo hali nakuwa natambua kabisa kuwa sperms zimejaa zimejitoa zenyewe.

Sioni lolote ambalo limekaa vibaya kwenye upande wa maisha yangu.
Miaka miwili ni hatari mkuu
 
Hiyo ni ndoto tu ya kawaida tu
Labda ikijirudia zaidi ya Mara moja hapo Kunakuwa na shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom