Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Nini maana ya ndoto hii? Inaniumiza kichwa

Miaka miwili ni hatari mkuu
Ni ngumu sana siwezi kusema ni rahisi.

Kuna time nakuwa kama nachanganyikiwa maana hali inanizidi kitu inasimama kama inataka kupasuka.

Lakini nikikumbuka kwamba nimekaa muda bila tendo naingia unyonge narudi katika hali ya kawaida tena.
Screenshot_20260317_235457_Reddit.jpg
 
Ila mkuu kuna ndoto zengine huwa hazipo kabisa kwenye uhalisia mfano kupaa, sasa utasema huyo mtu huwa anawaza mambo ya kupaa paa?
Huwezi kuota kitu ambacho hakipo au hakijawai kuwepo katika hii dunia. Ndoto saa nyingine ni mawasiliano ya watu wa 2 wewe na ulimwengu.

Kuna mambo huwa yanakuja kama ishara na saa nyingine hupitia ndoto
 
Nashukuru kwa muda wako mkuu

Kitu pekee namuomba Mungu mara nyingi ni nipate utajiri na mimi niishi ndoto zangu na maisha yangu kama nitakavyo.

Ingawa mimi siyo maskini sana (naishi kwangu na chakula siyo shida) ila naziona fursa nyingi bila idadi tatizo mara zote ni mtaji.

Kuna mtu mtaani nimemshirikisha hii ndoto ya kufanya tendo la ndoa usingizini amenijibu ni ishara nafanyiwa uchawi yaani kuna mtu au watu wananiroga. Miaka ya nyuma nilikuwa siamini kuhusu uchawi wa kurogwa ila naanza kuwa na wasiwasi huenda kweli nalogwa (kwanini nipate hela ya kula tu na siyo ya kufanya biashara na maendeleo?)

Ikiwa una maelezo na uzoefu zaidi kuhusu ndoto za namna hii Tafadhali endelea kunielezea nitashukuru sana
Kwahiyo hapo unakiri kuwa kuna hali ya changamoto kwenye upande wako wa kiuchumi au tuseme kwenye suala la kufanikisha yale malengo yako?
 
Ndiyo niliendelea kushiriki kama kawaida. Nina kama miaka 20 au hata zaidi naishi na mke na kawaida haiwezi kupita siku 14 sijashiriki labda pale mke wangu akiwa anakaribia sana kupata mtoto mwezi mmoja kabla na siku 30 au 40 baada ya kujifungua

Na ikitokea nimekaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa halafu nikaota usingizini hiyo huwa hainipi shida yoyote kichwani
Inawezekama pia hizo ndoto zikawa zinatokana na mtazamo wako kuhusu hilo tendo hivyo inategemea una experience vp hilo tendo ndani ya ndoto.
 
Niliacha kufanya mapenzi kwa muda mrefu sasa kama miaka miwili sasa.

Kila baada ya miezi kadhaa miwili mitatu lazima nitoe nipate wet dreams lakini kila kitu kipo sawa kwa upande wangu na huwa na ifurahia sana hiyo hali nakuwa natambua kabisa kuwa sperms zimejaa zimejitoa zenyewe.

Sioni lolote ambalo limekaa vibaya kwenye upande wa maisha yangu.
Kwa upande wako hizo ndoto ni nzuri kabisa kiafya hasa kwahiyo sababu ya kutoshiriki kwa muda mrefu sex.
 
Wewe hujawahi kujizuia ndoto yaaan ukabdirisha ndoto unayotaka hujawahi yaan wewe ndio unaendeshwa na ndoto sio wewe unaziendesha ndoto, kuna namna unaweza ukafanya hivyo yaan wewe ndio unakua pilot wa kile unachokitaka unaweza ukaweka hata pause ndoto isimame kwanza halafu uka play, hujui?
Sasa lucid dreaming si tofauti na ndoto za kawaida.
 
Huwezi kuota kitu ambacho hakipo au hakijawai kuwepo katika hii dunia. Ndoto saa nyingine ni mawasiliano ya watu wa 2 wewe na ulimwengu.

Kuna mambo huwa yanakuja kama ishara na saa nyingine hupitia ndoto
Kwahiyo kuota unapaa pia inawezakutokana na mawazo ya kupaa?
 
Sasa lucid dreaming si tofauti na ndoto za kawaida.
Hapana ni sawa kabisa ila tofauti ni hio wewe unakua na uwezo wa kufanya chochote au kujifanya chochote au kujigeuza chochote ukiwa ndani ya lucid dream, sasa ubaya wa lucid dream kuna kipande lazima ucheke au uongee na unapoongea au kucheka unajiona kabisa unachofanya ni kui-control ndoto yaan unaoona kabisa hapa mimi nimelala ila naota na nai-control hii ndoto sio kukoroma anae koroma huku amelala hayupo kwenye lucid dream ni poyoyo wengi ni mapoyoyo usije ukamuona mtu kalala anakoroma km nguruwepori ukasema yupo kwenye lucid dreaming hayupo kabisa km umewahi kulala na mtu halafu ukamsikia anafanya vitu vya tofauti mfano anacheka au anaongea peke yake ila amelala basi moja kwa moja tambua huyo yupo kwenye lucid dream na akifika kwenye hio hatua ndio ndoto hua imekolea, achana na wale wanaoamua kucheza michezo ya hatari mfano kukimbizana na mbwa au nyoka au ng'ombe au kiumbe cha ajabu kisichotambulika vizuri au mwingine anaamua kupigana humo humo ndotoni, tambua lucid dream kila kitu unatengeneza wewe mazingira yote ya ndoto ni wewe ndie unaeyajenga na unaweza kuyabadirisha vyovyote unavyotaka
 
Nachosema ni kwamba kuna aina tofauti za ndoto, lucid dreaming ni katika aina za ndoto ambazo zipo tofauti na hizo ndoto zengine. Kuwa na control katika ndoto kwa kutambua unaota na ukaweza kufanya chochote unachotaka kufanya hizo ndio ndoto za lucid dreaming kitu ambacho hali hiyo haipo kwenye ndoto za aina nyengine.

Kwahiyo maana yangu ni kwamba hauwezi kuwa uwezo kama huo katika kila ndoto.
 
Nachosema ni kwamba kuna aina tofauti za ndoto, lucid dreaming ni katika aina za ndoto ambazo zipo tofauti na hizo ndoto zengine. Kuwa na control katika ndoto kwa kutambua unaota na ukaweza kufanya chochote unachotaka kufanya hizo ndio ndoto za lucid dreaming kitu ambacho hali hiyo haipo kwenye ndoto za aina nyengine.
Vivid dreams, Nightmares, recurring dreams, and metaphorical dreams then inaingia lucid dreaming, upo sahihi kabisa are you dreaming?
 
Wakuu

Nina swali naomba msaada wa tafsiri

Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu

Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara hivyo siyo kwamba nina upwiru(hali ya Kutoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara), hapana. Hata leo usiku jana nimeshiriki tendo la ndoa cha ajabu usingizini nikaota tena nashiriki na mtu mwingine.

Hii ni nini?
Ndoto nyevu hizo.

Balehe ya mwanzo mwanzo huwa ni hivyo.

Hongera, umekuwa sasa.
 
Ni ngumu sana siwezi kusema ni rahisi.

Kuna time nakuwa kama nachanganyikiwa maana hali inanizidi kitu inasimama kama inataka kupasuka.

Lakini nikikumbuka kwamba nimekaa muda bila tendo naingia unyonge narudi katika hali ya kawaida tena.View attachment 3559301
Sababu hasa ya wewe kuacha kushiriki tendo la ndoa ni nini? Kuwa mkweli kwa asilimia 100 naweza kukusaidia suluhisho lake haijalishi ni nini
 
Kwahiyo hapo unakiri kuwa kuna hali ya changamoto kwenye upande wako wa kiuchumi au tuseme kwenye suala la kufanikisha yale malengo yako?
Ndiyo hiyo hali ipo, lakini Mungu ni mwema sana tayari nimepata kazi nzuri sana yenye mshahara mzuri sana ndani ya siku 3 zilizopita Naamini changamoto zangu zinaenda kubaki historia soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom