Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 592
- 1,499
Mda mwingi natembea na fupa la mbuzi katoriki kwenye kotiHujaingia kwenye 18 zao, huenda huwavutii😁
Mda mwingi natembea na fupa la mbuzi katoriki kwenye kotiHujaingia kwenye 18 zao, huenda huwavutii😁
Kiukweli mtu hawezi tu kujua uhakika wa sababu za wewe kuota hizo ndoto za mapenzi kwa wewe kusema tu unaota ndoto za mapenzi, maana watu wanaweza kuota ndoto za kufanana ila zikawa na maana tofauti kwa kila mmoja inategemea kila mtu na experience yake ya maisha.Mkuu mimi siwazi mapenzi muda wote, labda huyo jini maana sina elimu kuhusu majini na ndiyo maana nimekuja huku nisaidiwe kupata sababu hasa ya tatizo hili
Unajilinda sio😃 we ni muoga jamani😆Mda mwingi natembea na fupa la mbuzi katoriki kwenye koti
Nadhani haujanielewa, nachokisema ni kwamba hata kama huyo muotaji ataenda kwa mwanasaikolojia kutaka msaada kuhusu hilo suala basi mwanasaikolojia hatoweza kujua sababu ya huyo jamaa kuota hizo ndoto lazima atataka maelezo ya ziada ili ndio aweze kupata uhusiano wa hizo ndoto na maisha ya muotaji ili kujua nini maana ya muotaji kuota hizo ndoto.Uhakika ni upi?
Shida wanaeleza vitu au kupinga kwa misimamo tu waliyonayo na si kwa kuwa na uelewa na hivyo vitu.Wanapenda kumuona kila mtu mwendawazimu hawa!
Sasa maelezo zaidi atayatolea wapi wakati ndoto yake ndio imeishia hapo ? Ebu fafanua kwa kinaNadhani haujanielewa, nachokisema ni kwamba hata kama huyo muotaji ataenda kwa mwanasaikolojia kutaka msaada kuhusu hilo suala basi mwanasaikolojia hatoweza kujua sababu ya huyo jamaa kuota hizo ndoto lazima atataka maelezo ya ziada ili ndio aweze kupata uhusiano wa hizo ndoto na maisha ya muotaji ili kujua nini maana ya muotaji kuota hizo ndoto.
Ndio maana nikasema kwamba ukiishia tu kusema unaota ndoto za mapenzi bila maelezo zaidi basi kwa haraka majibu utakayopata ndio hayo kwamba inaweza kuwa ni mawazo tu yaliyo akilini mwa muhusika ndio huleta hizo ndoto au jini mahaba, na pengine kuwa na hamu ya kufanya mapenzi ndio maana mwenyewe kawahi kusema kuwa hana ukame wa kushiriki ngono hadi ipelekee kuota hivyo.
Ili kuondoa hiyo shida elezea vizuri ili tusipinge na sio kulaumu wakati mnatoa maelezo yasiyoelewekaShida wanaeleza vitu au kupinga kwa misimamo tu waliyonayo na si kwa kuwa na uelewa na hivyo vitu.
Kwanza hata sio lazima mtu akiwa na jini mahaba basi ataota hizo ndoto, wengine wanaweza kuwa nao na wasiote hizo ndoto hivyo asihisi kabisa kama anae.Hujaingia kwenye 18 zao, huenda huwavutii😁
Kwa maana una kinga au sio.Mda mwingi natembea na fupa la mbuzi katoriki kwenye koti
Hapo si kaeleza tu kijumla kwamba huwa anaota ndoto za kufanya mapenzi, hapo hajahadithia ndoto bali kaeleza kijumla tu kwamba huwa anaota ndoto za aina fulani.Sasa maelezo zaidi atayatolea wapi wakati ndoto yake ndio imeishia hapo ? Ebu fafanua kwa kina
Na hawako tayari kujifunza wala kuelewaShida wanaeleza vitu au kupinga kwa misimamo tu waliyonayo na si kwa kuwa na uelewa na hivyo vitu.
Ni kweli, saa nyingine ni ndoto tu saa nyingine maana ipo!Kwanza hata sio lazima mtu akiwa na jini mahaba basi ataota hizo ndoto, wengine wanaweza kuwa nao na wasiote hizo ndoto hivyo asihisi kabisa kama anae.
Mbona kama umenipania mkuu, chochote unachochangia wewe humu ni mchango pia kwa mleta mada na si kwamba mie najifanya ndio nipo sahihi na kupaswa kusikilizwa nachosema na si wewe, mie nachangia tu kwa kiasi cha uelewa wangu kama ufanyavyo wewe na wengine.Ili kuondoa hiyo shida elezea vizuri ili tusipinge na sio kulaumu wakati mnatoa maelezo yasiyoeleweka
Hata ndoto isiyohitaji tafsiri pia ina sababu zake za kufanya uote.Ni kweli, saa nyingine ni ndoto tu saa nyingine maana ipo!
Sijakupania mkuu , ila kusema shida ya wanaopinga wakati mnatoa maelezo kulingana na imani zetu na wanaopinga wanaotoa maelezo kulingana na uzoefu wao ni kama nyie mnataka kufanya maelezo yenu kuwa ni sahihi , basi ni sahihi leta uthibitisho ,mnabaki kulalamaMbona kama umenipania mkuu, chochote unachochangia wewe humu ni mchango pia kwa mleta mada na si kwamba mie najifanya ndio nipo sahihi na kupaswa kusikilizwa nachosema na si wewe, mie nachangia tu kwa kiasi cha uelewa wangu kama ufanyavyo wewe na wengine.
Mkuu kama mnachopinga ni kutokana na uzoefu wenu basi nahitaji sana kujua huo uzoefu wenu mkuu, binafsi napenda kujifunza hata kwa yale nisio yaamini ila shida yenu huwa mnaishia kupinga na kukosoa tu ya wenzenu hivyo tunashindwa kujifunza uzoefu wenu.Sijakupania mkuu , ila kusema shida ya wanaopinga wakati mnatoa maelezo kulingana na imani zetu na wanaopinga wanaotoa maelezo kulingana na uzoefu wao ni kama nyie mnataka kufanya maelezo yenu kuwa ni sahihi , basi ni sahihi leta uthibitisho ,mnabaki kulalama
Huu uzi sijapinga chochote , ila sayansi inasema ndoto ni kazi za ubongo , hisia na kumbukumbu zilizohifadhiwa zinaendelea kuchakatwa tu, mwili ukiwa katika hali ya sleeping paralysis , na mwingine akisema ni jini mahaba , hapo tunapinga ili kujua kajuaje na inakuaje vipi mpaka akafikiri hivyoMkuu kama mnachopinga ni kutokana na uzoefu wenu basi nahitaji sana kujua huo uzoefu wenu mkuu, binafsi napenda kujifunza hata kwa yale nisio yaamini ila shida yenu huwa mnaishia kupinga na kukosoa tu ya wenzenu hivyo tunashindwa kujifunza uzoefu wenu.
Kwahiyo uzoefu wako au uelewa wako ndoto kama hizo ni kwanini hutokea? Au unazizungumzia vp?