Magonjwa hata ndani ya ndoa yanapatikana
NA HUKUMU YAKE NI KATIKA LILE ZIWA LIWAKALO MOTO MILELE.Wewe na girlfriend wako mnafanya uasherati
Haahahaaa....Kitendo chochote cha kukutanisha vizalio vyenu nje ya NDOA ni dhambi!
Nipe tafsiri ya ndoa kwa mujibu was vitabu vya dini
Sio kweli, uasherati ni kufanya mapenzi bila kuwa na ndoa, kama huyu mwenye uzi anavosema yeye na girlfriend wake.Uasherati ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile,unaitwa pia ufiraji
Ni mfano wa dhambiKuiba ni mfano tofauti na mada maana ukiiba umemuumiza mwingine yani kuna MTU umemkoosea
MfanoMkuu naomba kupewa tofauti ya uzinifu na uasherati coz ni swali ambalo nimekua najiuliza kwa muda mferu na sijapata jibu
Watoto wanaongezekaje mitaani kwani wazazi wao wanakufa?1) Ongezeko la Watoto wa Mitaani
2) Kusambaa kwa Magonjwa ya Zinaaa
3) Kukosekana Mapenzi ya dhati/ uhakika. Ni sawa na kufanya Biashara na Mtu bila ya Mkataba Hata Kama unapata faida lakin Wasiwasi haukosekani
Tafuta kwenye kamusi utaonaSio kweli, uasherati ni kufanya mapenzi bila kuwa na ndoa, kama huyu mwenye uzi anavosema yeye na girlfriend wake.
Liko upande gani mkuuNA HUKUMU YAKE NI KATIKA LILE ZIWA LIWAKALO MOTO MILELE.
Imeandikwa wapi mkuu ebu nipo kwa evidenceKwa Mujibu wa Uislam:
Ndoa ni Muunganiko wa hiyari unaohusisha na Jimai wa Watu wa jinsia mbili tofauti ambao wanaruhusiwa kisheria kuoana na wakaoana kwa kufuata Sheria na Taratibu za kiislam!
So kama sijaoa halafu nina kadem kang hapo nakua sijavunja amri ya 6 mkuu?Mfano
wewe umeoa afu unapiga nje ya ndoa huo ni UZINZI
Kama haujaoa ila una kadem unapiga huo ni UASHERATI
Imeandikwa wapi mkuu.ebu nipe kwa evidence kwenye andiko loloteImeandikwa wapi mkuu ebu nipo kwa evidence
OpKwa mujibu wa ukristu, kufanya mapenzi kabla Hujafunga ndoa ni kuzini. Pia imekatazwa hata kumtamani mwanamke asiye mke wako.
Sio kila rushwa mtu hudhulumiwa haki.Ukitoa rushwa manake kuna mtu amedhulumiwa haki yake.mfano haufanani na mada
Watoto wanaongezekaje mitaani kwani wazazi wao wanakufa?
Magonjwa ya zinaa yapo hata kwa wanandoa njia za maambukizi ni nyingi
Mapenzi ya dhati labda wewe ndio uliyakosa ila watu wanafurahi na wanapendana kama kawa
Imeandikwa wapi mkuu ebu nipo kwa evidence
Ulawiti au ufiraji ni mwanamume kulala mwanamume mwenzake kwa mfano wa mwanamke. Hali kadhalika kwa mwanamume mwanamke kinyume na maumbile. Wote hawa sehemu yao ni moto wa milele.Uasherati ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile,unaitwa pia ufiraji