sterling
Senior Member
- Aug 6, 2011
- 159
- 29
Katika Kile kilichoonekana kuwa ni ukereketwa na Ufurukutwa wa Sheikh Farid wa Uamsho kwa Chadema kiasi cha kutumia na kuitangaza Nembo ya Chadema katika harakati zake za kuendesha maandamano na mauaji ya watu wasio na hatia na watumishi wa dola.
kitendo hicho kilichoibua maswali mengi ya wenye macho ya KUTAZAMA kwa kuwa kimebainisha mfanano uliokuwepo baina ya makundi haya mawili na mshabihiano wao halisi katika namna wanavyoendesha harakati zao,. ambapo wote wawili wanatumia maandamano kama silaha yao kuu ya kujiletea ushindi katika harakati zao,lakini pia wanajihusisha na matendo ya umwagaji damu na mauaji ya raia na watumishi wa dola., wote wawili wakipinga utawala na mamlaka.,wote wawili wakipinga na kupiga vita muungano na umoja watanzania.,wote wawili wakitumia dini kama njia ya kutimiza azma zao hizo.
Watu wamejawa na maswali ya utata kuwa je sheikh farid ni mwanachama wa chadema ama anawapakazia kwa kuwa wanafanana...? NA IPI FALSAFA NA UNDANI WA ALAMA YA VIDOLE VIWILI KAMA INAVYOTUMIKA NA VIONGOZI WA UAMSHO NA CHADEMA..?
sina hakika kama umefanya utafiti wa kutosha juu ya hichi unachokizungumza maana alama hiyo imekuwa ikitumika mahali pengi duniani so si ajabu yeye akatumia.... bado sijaona msingi wa hoja yako mkuu maana (Ufurukutwa wa Sheikh Farid wa Uamsho kwa Chadema) hapa tayari umeshatoa conclusion