Kwa mujibi wa dini gani mkuu hii tuliyoletewa na wazungu au ya warabu?
Kwa mujibi wa dini gani mkuu hii tuliyoletewa na wazungu au ya warabu?
Unajidanganya na kiburi cha uzima baada ya kula na kushiba. Siku ile ipo, inakuja na inawaka kama tanuri. Siku ya wote wenye mwili kukusanyika mbele ya kiti cha hukumu ipo ndugu yangu. Mungu ni halisi, hukumu ni halisi na Jehanamu ya moto ni halisi. Acha kiburi cha uzima wewe mwanadamu uliye mavumbi.Hadith za kwenye vitabu vya mapokeo zina matango pori ya kutosha,
Anyway hakuna kitu kinaitwa siku ya mwisho na blaa blaaa za jehanamu hizo ni hadith za kujifurahisha tu kama ilivyo sungura na fisi!
Povu rukhsaaaaa!
Zipo sayari nyingine bro na Biblia inazitambua. Usiwe mwepesi kuhukumu ndugu yangu. Ayubu 38:32a pia Zaburi 104:2kidini hakuna sayari nyingine nje ya dunia,kwahiyo wazungu ni waongo
amka wewe acha kuota hakuna kitu Kama hicho et Jehanamu hizo ni Hadith za kale za wayunani na wayahudi wa kale Kwanza unajua asili ya neno Jehanam?Unajidanganya na kiburi cha uzima baada ya kula na kushiba. Siku ile ipo, inakuja na inawaka kama tanuri. Siku ya wote wenye mwili kukusanyika mbele ya kiti cha hukumu ipo ndugu yangu. Mungu ni halisi, hukumu ni halisi na Jehanamu ya moto ni halisi. Acha kiburi cha uzima wewe mwanadamu uliye mavumbi.
Wasalaam Forest Hill!Habari zenu nyote,
Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine watakua mars? Je Mungu ataangamiza sayari nyingine zaidi ya dunia? maana kwa mujibu wa mafundisho ya biblia, Mungu ataangamiza dunia(tu) na kila kilichomo maana dunia ndio sayari(pekee)iliyomkubali shetani
2 petro 3:10 "siku ya bwana itakuja kama mwizi siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu, vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake"
Katika qu'raan mbona zimetajwa sayari 9 mkuu ama dini ipi labdakidini hakuna sayari nyingine nje ya dunia,kwahiyo wazungu ni waongo
Habari zenu nyote,
Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine watakua mars? Je Mungu ataangamiza sayari nyingine zaidi ya dunia? maana kwa mujibu wa mafundisho ya biblia, Mungu ataangamiza dunia(tu) na kila kilichomo maana dunia ndio sayari(pekee)iliyomkubali shetani
2 petro 3:10 "siku ya bwana itakuja kama mwizi siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu, vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake"
Nimejikuta nacheka utadhani mazuri.Kwani Mungu yeye ana uchizi gani mpaka aangamize Dunia aliyoiumba yeye,unafikiri Mungu ni Magufuli
Hii kitu hata mapadre wanafaham, maana kuna padre mmoja, alishawahi kutuhutubia hii kwa kirefu zaidi.. Na mwisho, alimalizia kwa kusema, adhab kubwa kiumbe chochote ni kutokuona ufalme wa mungu.. Ila maswala ya moto ni story tuamka wewe acha kuota hakuna kitu Kama hicho et Jehanamu hizo ni Hadith za kale za wayunani na wayahudi wa kale Kwanza unajua asili ya neno Jehanam...
Kidini gani?kidini hakuna sayari nyingine nje ya dunia,kwahiyo wazungu ni waongo