Nini kirefu cha HTTP

Nini kirefu cha HTTP

Tatizo la kujadili kitu kama http au https ni level ya ufahamu ya mambo haya.Mtu atafundishwa hii ni "protocol" lakini hataelezwa what does the work protocol mean in information technology.

http:Hyper text transfer protocol; ni protocol inahusika na mambo ya kubrowse web pages ila information zinatumwa kama plain text i.e not secured lakini https: please note the last letter "s" stands for secured,maana yake inakuwezesha kubrowse websites lakini information za website hizo zinatuma zikiwa encrypted.

Angalia website kama www.yahoo.com, facebook na zingine wanatumia htts,online banking website zote wanatumia https na si http na kampuni zingine wanaolewa security wanatumia two factors authentication za ukweli kama RSA.
So kitu kidogo kama http unaweza tumia muda mrefu kuuliza na kukielezea,tunaojua tunakusanya info about your knowledge and skills na kuangalia how competent the IT of the .com generation are.
Protocols kwenye IT ni nyingi na kuzielewa zinavyofanya kazi si rahisi kwa kila mtu.
 
Yes, you now should get me to know why this discrepancy that http takes "t" for the word transfer whereas https takes the same letter "t" for the word transmission. Does it mean that web browsed information and exchanged under UNSECURE conditions is referred to as being transferred whereas that exchanged under SECURE conditions is transmitted? Is that the case?
 
Hali yako bibie....?
 
You should know that here you are talking about HTTPS.

Yes, you now should get me to know why this discrepancy that http takes "t" for the word transfer whereas https takes the same letter "t" for the word transmission. Does it mean that web browsed information and exchanged under UNSECURE conditions is referred to as being transferred whereas that exchanged under SECURE conditions is transmitted? Is that the case?
 
Yes, you now should get me to know why this discrepancy that http takes "t" for the word transfer whereas https takes the same letter "t" for the word transmission. Does it mean that web browsed information and exchanged under UNSECURE conditions is referred to as being transferred whereas that exchanged under SECURE conditions is transmitted? Is that the case?
Would this help?
 
http ni protocol inayotumika kutransfer data kwenye web kutoka kwenye web server ili wewe uwezu kuisoma katika text n kuielewa,itifaki zipo nyingi sana kila device kwenye mtandao ina itifaki zake katika kuwasiliana.
 
Transfer of what? Kumbuka pia kuwa Protocol ni utaratibu, siyo kitendo Hapa tuaoongelea utaratibu unaotumika na si kitendo chenyewe cha data transfer/transmission

Sijui na sina uhakika kama unakijua unachobishania
There is no transmission in data
Only transfer
Http stands for hyper text transfer protocol
Mpangilio Wa kutransfer data from web server
Secure http is called HTTPS
-Http use port number 80(sometimes called www,)
-HTTPS use port number 443
Nibishie kwa kitu unachokijua tafadhali
 
Yaani hii kitu ukiandika google, jibu linakuja kwenye result ya kwanza kabisa... Tuache uvivu basi watanzania

Wabongo na sisi kwa lawama, mmmnh!! Mtu hadi ameamua kuja hapa, yawezekana kwamba ameamini elimu atakayopata humu itakuwa bora zaidi ya google, kwani humu ataelimishwa kwa kiwango chake cha uelewa kutokana na kuweza kuuliza maswali ya papo kwa papo. Hajakosea, ameiamini zaidi JF kuliko google.
Ova
 
Back
Top Bottom