Nini kirefu cha HTTP

Nini kirefu cha HTTP

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
Hapo nn jibu....
 
Attachments

  • 1420553791522.jpg
    1420553791522.jpg
    19.4 KB · Views: 939
Noo mr hiyo nimeikuta mahal na mabishano makubwa....
 
None of the above. It stands for Hyper Text Transmission Protocol
 
Makanyaga... unaweza kutupa maelezo kidogo..?
 
Last edited by a moderator:
Makanyaga... unaweza kutupa maelezo kidogo..?
mushi;
Naona kama nimesahau, siku nyingi mno ila muda wangu pia siyo rafiki sana. Hata hivyo, elewa kuwa jina mushi kama nilivyoliandika hapa, liko kwenye hyper text format isipokuwa Mushi liko kwenye text format! However, you can google and find all the stuff you need!
 
In this context, transfer and transmission are synonimous.

Braza Kanzu;
According to my opinion, I guess it's rhetorically no to your argument. Transmission has to do with some flow continuity of the entity being transmitted, be it information or whatever. Transfer takes an entity from one particular point A to another pont B, such that the entity ceases to exist at the original point A where it was taken from. Wewe ukipewa transfer tuseme kutoka Namtumbo kwenda Mwanza, utakuwa haupo tena Namtumbo, kwa sababu utakuwa uko Mwanza. Lakini ukiwa transmitted kutoka Namtumbo kwenda Mwanza, utaendelea kuwepo Natumbo na njia yote inayotoka Nmatumbo kwena Mwanza, na hadi Mwanza kwenyewe. So, transfer na transmission haviko synonymous!
 
Well, as you say, that is your opinion as well as your guess.
 
Muongo
Transmissions means signalling
Website need transfer

Transfer of what? Kumbuka pia kuwa Protocol ni utaratibu, siyo kitendo Hapa tuaoongelea utaratibu unaotumika na si kitendo chenyewe cha data transfer/transmission
 
Back
Top Bottom