kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,187
- 24,579
Nilijua ni hadithi tu za kusadikika, na nilijua ni huku Goba tu kunakuaga na shida za maji kwa maeneo mengi na angalau kuna ratiba za maji
Magomeni na manzese maeneo mengi leo ni mwezi wa nne watu hawayajui maji hii nchi kiboko!!
Imagine nchi yetu ilivyo na maziwa na mito mingi lakini kutatua shida ya maji Dsm ni changamoto kwa miaka 60 hii
Imagine ni kitendo cha kuyachukua maji tu na kuyasupply kwa wananchi,lakini wameshindwa, tungekua nchi Jangwa kama Saudia Arabia au Israel au Kuwait ambapo bila Desalination process zinazotumia mabilioni ya pesa hawatoboi sijui ingekuaje
Maeneo yafuatayo watu wana shida za maji pia na wanaweza kukaa hata miezi bila ya kuyaona
1.Ubungo:Ubungo hostel, mabibo, Rivaside, kibangu juu huko hapafai
2.Manzese na magomeni: Huku hapafai
3.Tabata kimanga, tabata majichumvi na kisukuru huku ni shida tupu