Nini Kingetokea Kama Tungeishi Bila Nguo

Nini Kingetokea Kama Tungeishi Bila Nguo

Loh na HV wengine shape less mbona ingekua vituko huko njiani maana mtu anaenda mbele km anarudi nyuma
 
Loh na HV wengine shape less mbona ingekua vituko huko njiani maana mtu anaenda mbele km anarudi nyuma

Mi nadhani wale wenye minyama uzembe wangetafuta kijiji chao peke yao
 
tumepewa utash ndo maana mtu kutembea bila nguo haiwezekan lait kama tucngepewa utashi tungeona ni jamb la kawaida hata kama tungetembea uchi maan tungekuwa hatujitambui kam wanyam wengne mfano,mbwa,ng'ombe,paka,kuku n.k,,,
 
Back
Top Bottom