trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Kweli kabisa, naona ban za siku hizi zinafanywa kimya kimya, sasa tutajuaje adhabu inaisha lini tumchinjie hata kuku jamani?...lol..
So,tufanyeje... Tuandike barua ama namna gani?
Kweli kabisa, naona ban za siku hizi zinafanywa kimya kimya, sasa tutajuaje adhabu inaisha lini tumchinjie hata kuku jamani?...lol..
ama kweli kila shaitwan na mbuyu wake,TF na kuja kujishaua kwake kwenye uzi huu we bado unamuwaza nitts tu?Tf pole mwanawane,we mgande Husn tu,achana na SL,hakufai.Kweli kabisa, naona ban za siku hizi zinafanywa kimya kimya, sasa tutajuaje adhabu inaisha lini tumchinjie hata kuku jamani?...lol..
Kinaniuma Bishanga we acha tu, kutenganishwa ghafla na mpendwa!!!.. Maskini sweetie husband wangu, namwonea huruma ila daah sina cha kufanya!kinakuuma eh? Jikunje kwenye mto leo!
Ps:umemsikia King'asti? Anadai eti una mimba ya nitty,,ya kweli hayo?
Tuandike asee!... Afadhali hata wewe umejitokeza kunisaidia! Thanks in advance!So,tufanyeje... Tuandike barua ama namna gani?
acha kumfundisha mwenzio ushankupe....Upppy,Tf,katavi.....ndo nini sasa?Hivi kumbe toka unipigie kuwa ameondoka bila kuaga hajarudi mpaka leo???
Jidondoshe tu swahiba, tena nakuunga mikono na miguu, ukikwama kudondoka nijulishe nije nikusukumize kabisa mpaka umwangukie shemeji Katavi...
Kiapo Bishanga kiapo! Niliapa kuwa na nitts kwa shida na raha, sasa kumkimbia itakuwa natenda dhambi...ama kweli kila shaitwan na mbuyu wake,TF na kuja kujishaua kwake kwenye uzi huu we bado unamuwaza nitts tu?Tf pole mwanawane,we mgande Husn tu,achana na SL,hakufai.
we nae,unajitia hujui mkanda mzima? lol *mekuwa kongosho?
Tuandike asee!... Afadhali hata wewe umejitokeza kunisaidia! Thanks in advance!
Klorokwini, uporoto! Ushankupe ndio nini eti lol.acha kumfundisha mwenzio ushankupe....Upppy,Tf,katavi.....ndo nini sasa?
saa nane za usiku unafanya nini jf,lala!
ntalalaje wakati kiwiliwili kiko bize?
hichi kifaa kipya ni nani,Babu DC au Mtambuzi,maana nawahisi sana hawa kwa SL.