nini kinakukera jf?

nini kinakukera jf?

Hehehe! Haya mapenzi ya ghafla yameanza lini swahiba?? Ooh maskini shemeji yangu uporoto!

Katavi, Katavi, wee Katavi unaitwa huku chit chat na Husninyo! Anakuja swahiba.
kha! Khatavi who????
 
Zamana imeshindikana Bishanga, labda uje ujaribu na wewe, ila kweli nimeamini kweli klorokwini mchawi...khaaa!
toba yarabi,fitna yote kumbe kafanya kloro? Now i understand!
 
hiyo thread ya "waziri anamtaka kimapenzi" inanikera sana
 
Nakerwa na watu ambao hawako'comment bila kuko'quote thread topic nzima, kwani huwa wananichosha ukzngatia nakutumia simu kuingia jf.
 
Tumeshatoa kero zetu hivyo ruksa kuchakachua huku tukimsubiri Bishanga azifanyie kazi...

Sikukukimbia libent, ujue wakati najiandaa kutoka nikapata taarifa kuwa nitonye kaswekwa lupango hivyo ikabidi niende kumpelekea chai... Hata hivyo bado nashughulikia dhamana!

Kafikia wapi huyo Bishanga na pilika ya kushughulikia kero za watu humu ndani?
 
Nakerwa na watu ambao hawako'comment bila kuko'quote thread topic nzima, kwani huwa wananichosha ukzngatia nakutumia simu kuingia jf.

Yeah... Especially kwa thread ndefu,na kisha anaandika maneno manne tu kwenye post yake... wananichosh'aje?!
 
Ni kweli asee, afu hata sijui aliharibu wapi... Kapatikana kweli!

PAW naye hatangazi hukumu yake akishamsentence mtu... Hiyo si weakness jamani?

Tunahitaji kumpokea mpendwa wetu anaporudi,au walau kuifahamu siku ya kurudi uraiabi.. Au waonaje Sweetlady
 
Hehehe, hujaona kwa hasira kamlamba nitonye life ban? Achana na hasira za cookie! Nilimkanya nitonye hakusikia lol..
kinakuuma eh? Jikunje kwenye mto leo!
Ps:umemsikia King'asti? Anadai eti una mimba ya nitty,,ya kweli hayo?
 
PAW naye hatangazi hukumu yake akishamsentence mtu... Hiyo si weakness jamani?

Tunahitaji kumpokea mpendwa wetu anaporudi,au walau kuifahamu siku ya kurudi uraiabi.. Au waonaje Sweetlady
Kweli kabisa, naona ban za siku hizi zinafanywa kimya kimya, sasa tutajuaje adhabu inaisha lini tumchinjie hata kuku jamani?...lol..
 
Afike wapi huyu bepari la kihaya, tumetoa kero zetu afu kabaki kimya!
jamani Eliza wa T anatapika,tulikuwa mwananyamala,mi namshangaa eti anataka chakula chake kiwe mkaa tu na udongo flan mwekundu,ana tatizo gani eliza wa ? Ndo tumelala hivi ananisumbua na kikopo pembeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom