Nini kinakifanya uende bar ukanywe

Nini kinakifanya uende bar ukanywe

Kwa upande wangu ni kutafuta šŸ‘ za vodafasta.

Yani mkipata sehem yenye Giza tuu ni kubend then šŸ”„ šŸ”„ šŸ”„ šŸ”„ šŸ”„

Vipi wewe??
Ni kama vile unapopata uchovu unahotaji kupumzisha mwili na akili,ni kama unavyojisikia vizuru na kuburudika,ukivuta sigara,ni kama unavyojisikia uchovu kuishaukinywa kahawa,ama energy drink,na isiwe kutuliza hasira,amaili ukafanye ugomvi na msiyeelewana,ni sehemu ya kutumia muda kutafakati mambo kadhana kujiepusha na mazingira yatskayo kukera ama kumketa mwingine,yspo mazuri mengi ndani ys mvinyo kuliko mabaya yanayopatikana kwa mvinyo.
 
Back
Top Bottom