Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,693
Hivi karibuni hili jengo limekuwa gumzo sana hapo Dar
Nini kinaendelea humo nasikia majanja na mawinga wa Kariakoo huwaambii kitu na huo mjengo inapohusu kutoboa kibiashara
Mara kuna habari wafanyabiashara nje ya China Plaza wamepigwa
Huku wengine wanapigwa wengine wanafanikiwa kwa njia wanazojua wenyewe hapohapo
Nini kinaendelea humu?