Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Div 5 on work.
Achana nae mkuu div 5 on work.
Div 5 on work.
Naona spika ni mama yako. Sidhani kama elimu yako ni zaidi ya f4 aliyehudhuria darasani. Post zako zinaakisi hilo.
Kama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.
ni kweli hata mimi naliona hilo ila kweli mnyika ni mbunge pamoja na kukatishwa tamaa jamaa ana hoja nzuri
Pengine ni shinikizo nyuma ya pazia! Ni kweli hasira zake kashindwa kuzifichaKama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.
Kwa yanayoendelea bungeni leo kuhusu kuchangia muswada wa hati ya dharura ya wizara ya katiba na sheria, nimeshindwa kuelewa nimpe jina gani mama huyu asiyekuwa na busara wala hekima kwa bunge wala taifa.
Michango yote ya mbunge mnyika na Tundu Lissu kuhusu kuweka muda kwa uchunguzi kwa makosa mbali mbali, waziri analikataa hilo na wabunge wa CCM kwa kutumia wingi wao wanapitisha mambo kidharura dharura ili wamalize muda wa bunge. Kwa kutumia kauli za ndiyo na hapana kama kawaida yao.
Huyu mama anamwambia Mnyika kadiri ya siku zinavyoenda heshima ya Mnyika inazidi kushuka, lakini Mnyika kamjibu "wanaopenda ukweli watazidi kuwaheshimu".
Mama huyu sijui nimpe jina gani zaidi ya 'mhafidhina aliyekalia kiti cha bunge kama kiongozi na refarii wa bunge zima".
Nisiseme sana naweza kutukana bure nikapigwa barn ya maisha
Pole sana wanaubungo tunajuwa ubora wa wake kimara,sinza,makuburi, ukiwaeleza jambo la kijinga kuusu mnyika utapigwa tu.hivi sita,mwakyembe na kamati yake ccm ikimpitisha lowassa watakuwa wanampigiaje kampeni lowassa je watasema tulimsingiziatu hakuwa namakosa au?
Nimecheka kwa sauti kubwa...
" Unashindana na kiti...Kwanini tunabishania upuuzi? Hebu futa kwanza huo upuuzi Hakuna mtu anaeweza kunipangia"
Najaribu kutafakari kama Mnyika ni kichwa nazi, kichwa chako na cha spika wetu vitakuwa vichwa gani...
Nashindwa kupata majibu
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Hahahahahahhahahahahahahaha ukitaka kufurahi zaidi we binya pua afu useme hayo maneno
Mnyika amejaa upuuzi mwingi kwenye kamati walikubali miswada isomwe lakini amekuja bungeni wana anaza kuleta fujo..
Mkuu kwanini unataka kupotosha, unapata faida gani? Jana Mnyika wakati anaomba mwongozo alisema walikubaliana kwenye kamati kuwa hii miswada isiletwe kwa hati ya dharura
Pia Mbunge wa CCM Dr. Kafumu naye alizua tafrani kubwa kabisa akipinga hii miswada kuletwa kwa hati ya dharura.
Hii habari yako wewe umeipata wapi?