Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Hama tu kama huoni humuhimu Wa mnyika bungeni umechelewa kuhama nchi
 
mama Anna ana hasira sana sijui kwanini. au ndio siasa zilivyo? huwa akimsemea mbovu Mnyika naumia sana sijui kwanini
 
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Kichwa nazi ni wewe usiyeelewa kinachoendelea bungeni. Watu kama akina Martha Mlata ni watu wa kupitisha vifungu vya sheria?
 
Mtia nia kama unavyojiita unatiwa ulitaka alale ni mama yako ndio ujue kafanya kazi
 
Haha...naona mnyika atafanya wengi wahame ubungo ..chapa kaz hakuna mbunge mchapa kaz kama mnyika
 
Kwa yanayoendelea bungeni leo kuhusu kuchangia muswada wa hati ya dharura ya wizara ya katiba na sheria, nimeshindwa kuelewa nimpe jina gani mama huyu asiyekuwa na busara wala hekima kwa bunge wala taifa.
Michango yote ya mbunge mnyika na Tundu Lissu kuhusu kuweka muda kwa uchunguzi kwa makosa mbali mbali, waziri analikataa hilo na wabunge wa CCM kwa kutumia wingi wao wanapitisha mambo kidharura dharura ili wamalize muda wa bunge. Kwa kutumia kauli za ndiyo na hapana kama kawaida yao.
Huyu mama anamwambia Mnyika kadiri ya siku zinavyoenda heshima ya Mnyika inazidi kushuka, lakini Mnyika kamjibu "wanaopenda ukweli watazidi kuwaheshimu".
Mama huyu sijui nimpe jina gani zaidi ya 'mhafidhina aliyekalia kiti cha bunge kama kiongozi na refarii wa bunge zima".
Nisiseme sana naweza kutukana bure nikapigwa barn ya maisha

Nadhani walikuwa kwenye party caucus ambapo walikubaliana kupitisha hii miswada na kukataa ushauri wo wote kutoka upinzani. This is pathetic.
 
Nyie wawapi? Mtambue kwamba, Wabunge ambao wanaichachafya serikali ndani ya Bunge hawapelekewi maendeleo kwenye majimbo yao ili ionakane hawafanyi kazi na uchaguzi ukija wananchi wakate tamaa ya kuto mchagua tena! Jimbo la Ubungo mchagueni tena Mnyika!
 
Umeandika kijinga sana umeonesha political enterest upo kiboya boya tu,

tumpe mama yako hiyo post

Wewe mtia nia wa ubalozi acha kutukana, mama yake wa wewe nini sasa hapo?
 
Muulize makinda Juzi, ndo anajua kama Mnyika anabwabwaja au la!

Huyu hajitambui, kwanza ananajisi jina la kiongozi aliyewahi kuwa maarufu duniani. Hivi mtu akisimama na kumponda Mheshimiwa Mnyika kuna haja ya kujibizana naye? ni kama kufukuzua chizi aliyebeba nguo zako ulipokuwa unaoga mtoni
 
11698635_1609619895953637_389821771052677851_n.jpg
sp
 
hakuna mbunge mjinga safari hii kama mnyika sijui ni kuchanganyikiwa kuukosa ubunge

Naona spika ni mama yako. Sidhani kama elimu yako ni zaidi ya f4 aliyehudhuria darasani. Post zako zinaakisi hilo.
 
acheni roho za kwanini nyie wana ubungo...mulitaka afanye nini sasa...kwani mumekosa nini?...halafu hayo anayoyaongelea bungeni kuhusu taifa letu sote nyie hayawahusu?....mungu anawanyeshea mvua wema na waovu...kwahiyo wewe unataka mungu awanyeshee mvua nyie wema tuu sie waovu ahaha....tunamtaka mnyika bungeni kwa manufaa ya tanzania nzima kuliko nyie watu wa ubungo peke yenu.

tafadhali badilikeni musitutie aibu watanzania wenzenu.
Achana na hao waganga njaa wa CCM mkuu.. wanashinda kutwa kuchwa humu kututoa kwenye mambo ya msingi
 
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.

Ni kazi ya Mnyika kupeleka maji Ubungo? Hivi hua mnaandika mnachokijua au mnakurupuka tu?
 
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.

Kwani ni kazi yake kupeleka maji bungeni. We kweli bongolala. Serikali dhaifu iliyojaa ufisadi imeshindwa kupeleka maji na sasa unataka mbunge apeleke kwa mshahara wake. Shame on you.
 
Back
Top Bottom