mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Anza kufungasha mapema uhame kwani ni dhahiri Mnyika anarudi - tena kwa kishindo!
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Kipindi kile wanaelewana sana mpaka Anne alipokuwa anamlalamikia kwa kusema
"Hivi mnyika mbona ni mkorofi hivi nimekukosea nini Mimi, nikupe nini utulie. Mbowe nisaidieni jamani"
Silivuma habari kwamba wanamahusiano.
Sasa kama sikuhizi wanagombana labda wametengana.

sisi wa Ubungo tunamtaka Mnyika, tnajua shida tulizzonazo zinatokana na CCM, sasa wewe wa Mbagala, Mnyika anakuhusu nini? Au umetumwa? Na utahama sana inji hii.Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni
Eti Mnyika hajafanya chochote Ubungo. Duh! Kwani wale waliokaa miaka 45 kabla ya Mnyika walifanya mini? Na kwanini mliwaondoa?
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni
Kama kawaida yake anatafuta umaarufu kuelekea oktoba , hana jipya.
acheni roho za kwanini nyie wana ubungo...mulitaka afanye nini sasa...kwani mumekosa nini?...halafu hayo anayoyaongelea bungeni kuhusu taifa letu sote nyie hayawahusu?....mungu anawanyeshea mvua wema na waovu...kwahiyo wewe unataka mungu awanyeshee mvua nyie wema tuu sie waovu ahaha....tunamtaka mnyika bungeni kwa manufaa ya tanzania nzima kuliko nyie watu wa ubungo peke yenu.
tafadhali badilikeni musitutie aibu watanzania wenzenu.