Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Mnyika shule ndogo angalau angekuwa na shahada moja angeacha ushamba wake wa kuuza sura ktk tv.ana adabu anataka kumuamrisha Spika kwa maneno aliokaririshwa na Lisu wiki mzima anamfundisha.kisha umuone anatisha.tunga sheria acha siasa kamati inapo keti jana alipondwa sana na Dr.ASHA mwalimu wa Lisu UDS.Akajiskia aibu.
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Najaribu kutafakari kama Mnyika ni kichwa nazi, kichwa chako na cha spika wetu vitakuwa vichwa gani...

Nashindwa kupata majibu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.

Kwani unadhani ungeweza kuandika kingine zaidi ya hili
 
Mnyika shule ndogo angalau angekuwa na shahada moja angeacha ushamba wake wa kuuza sura ktk tv.ana adabu anataka kumuamrisha Spika kwa maneno aliokaririshwa na Lisu wiki mzima anamfundisha.kisha umuone anatisha.tunga sheria acha siasa kamati inapo keti jana alipondwa sana na Dr.ASHA mwalimu wa Lisu UDS.Akajiskia aibu.

Kumbe Lissu mnamkubali kimya kimya
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Hujui kuwa kupiga kelele bungeni ni jukumu la Mnyika na mambo ya kufanya huku Ubungo ni jukumu la serikali? Anachokifanya.bungeni ndo kazi yake mnyika,kuhusu kuleta huduma huku ubungo naona unaivua nguo Serikali yako kuwa haijafanya chochote.Uzuri wake siku hizi watu ni werevu wanajua majukumu ya kila mmoja
 
Kwani ni kazi yake kupeleka maji bungeni. We kweli bongolala. Serikali dhaifu iliyojaa ufisadi imeshindwa kupeleka maji na sasa unataka mbunge apeleke kwa mshahara wake. Shame on you.

Mpe za uso huyo Ritz
 
Makinda hatarid bungeni anamuonea wivu mnyika atarud bungen mwez wa kumi
 
acheni roho za kwanini nyie wana ubungo...mulitaka afanye nini sasa...kwani mumekosa nini?...halafu hayo anayoyaongelea bungeni kuhusu taifa letu sote nyie hayawahusu?....mungu anawanyeshea mvua wema na waovu...kwahiyo wewe unataka mungu awanyeshee mvua nyie wema tuu sie waovu ahaha....tunamtaka mnyika bungeni kwa manufaa ya tanzania nzima kuliko nyie watu wa ubungo peke yenu.

tafadhali badilikeni musitutie aibu watanzania wenzenu.

Mkuu huyo jamaa hata sio mkazi wa Ubungo,wanaubungo kwa sauti moja tukiangalia maslahi mapana ya ubungo na taifa tunasema Mnyika atarudi Bungeni kwa kishindo
 
Kama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.

Mnyika kakiuka hii sheria ndio maana hawaelewani na mama Makinda
 
Attachments

  • 1435915005033.jpg
    1435915005033.jpg
    30.8 KB · Views: 552
ni kweli hata mimi naliona hilo ila kweli mnyika ni mbunge pamoja na kukatishwa tamaa jamaa ana hoja nzuri

Hata mimi namkubali mnyika ingawa mimi sio mwana chadema lkn ubungo wana jembe,
na wasijaribu kumpoteza huyu jamaa.
 
Kumbe Lissu mnamkubali kimya kimya
Anaweza kujenga hoja unanamuharibia uanaharakati tu,mujiandae kumfukuza kama ZITO lazima atagombea nafasi kubwa CDM na wenyewe hawatamtaka,mziki wake mtaujua,anachangamsha Bunge anazidi kujizolea wapenzi kuliko DJ, Mnyika mjanjamjanja tu shule ndogo.
 
Ukweli tunawashukuru wanaopigania mali za watanzania zisipolwe na wachache na ninawasii waendelee kukomaa bila kukomaa ata hiyo gass aitasaidia kitu chochote kwa watanzania wanajuwa saiv wabunge wakobussy majimboni ndiyo muda wa kuwapiga changa la macho.sijui mama ataacha kitu gani kwa wananchi.
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Mnyika ameshajua kuwa hapati ubunge jimboni sasa anachofanya ni kutafuta umaarufu kwa mabishano bungeni ili aonekane anawasaidia wana ubungo. Hatudanganyiki.
 
Kama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.

Tena amemwambia eti kwa kadiri siku zinavyokwenda ndivyo anavyozidi kujishushia hadhi. Spika anabeba serikali pamoja na wabunge wa CCM
 
Back
Top Bottom