zoom me
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 213
- 51
Muacheni Mnyika apambane anajua watu wote wanamuangalia kwenye tv, ubungo maji hamna lazima atafute cha kuongea kwenye kampeni.
Akili yako inamatatizo......kazi ya mbunge nikupeleka na kufuatilia kero za wananchi serikalini.
Mbunge hawezi kuleta Maji...kero hii ameiwasirisha kwa rais wako mpuuzi na Kama unakumbuka rais aliahidi kuja zungumza na wanaubungo.
Wanaubungo wanapaswa kijiuliza jimbo hili limekaliwa na ccm kwa miaka min gap? Na wamelifanyia nini ktk kipindi hicho?
Mbona Kama ndo yule mchaga mnec hamuwezi mnyika hata kidogo licha ya kuanza kupiga kampeni za nyumba kwa nyumba mapema hii.
Can't you stretch you brain bro? Wake ritz