Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Unataka kurudi kwenu burundi? Naona huko viongozi wenu ndo wanafanya "kazi" nzuri.
 
Hapa kwangu TANESCO wamekata umeme makusudi!!
Make umeme na gesi ni ndg!
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Ungehama mapema kabisa, usisubiri yatimie yale yaliyo wazi
 
Kama kawaida yake anatafuta umaarufu kuelekea oktoba , hana jipya.
 
Ulitaka amuoe mama ako mdogo au Bibi yako wa kambo?
 
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni

Sasa kuhama mbona ni jambo la kawaida,kama by oktoba kodi yako ya pango ikiwa imeisha na hupasw kukaa hapo Ubungo lazima uhame,ila Ubungo lazima utapita ukitaka kwenda mikoani,unless una chuki na hinda tu. Msekwa alikua alisema "Wivu wa Kike"
 
Wanawake ndivyo walivyo pindi wakiwezeshwa.....
 
wabunge wa ccm hakuna anaetoa mapendekezo kazi yao ni kukutaa hoja za upinzani bora kusingekuwa na mjadala wangepitisha maana mapendekezo yote mazuri ya upinzani ccm wanakataa kwa wingi wao.watakiona mwaka huu uchaguzi tutaongeza wabunge wa upinzani km mia hv.
 
mnyika ni nomaaa.Maccm yanasema ndioooooo bila kuelewa
 
hakuna mbunge mjinga safari hii kama mnyika sijui ni kuchanganyikiwa kuukosa ubunge
 
Back
Top Bottom